EAT AND LIVE HEALTHY

Toa Weusi Kwa (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients

Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na fair…

Read More

NJIA SABA ZA KUKUSAIDIA KUACHA KUKOROMA (SNORING)

Na wewe ni mmoja wapo wa wanaokoroma wakilala???Asilimia 45% ya watu wazima inasemekana wanakoroma occasionally ,wengine hata mnawatania wenzenu wanaokoroma sio issue.Ila snoring ina…

Read More

10 Healthy Drinks Perfect for Your Family This Weekend Part 1

Weekend inakaribia ,so kama familia you can get to make healthy Drinks ku enjoy na familia yako,msijali vitu vyote vinapatikana bongo kwenye supermarkets au…

Read More

#TBT :: UNA STRESS????VYAKULA HIVI VITAKUSAIDIA KUPUNGUZA STRESS

Tucheki leo vyakula vinavyosaidia kupunguza stress ukiona stress zimezidi muone daktari just kidding ,stress zikizidi muone mshauri Kuna ile sms inazunguka kwa watu inasema…

Read More

Njia Natural zakuondoa Weusi Kwenye Private Areas /Sehem za Siri

Linapokuja swala la sehem za siri well ni private na personal na it can be embarrassing to alk about ila tuwe tu wa kweli…

Read More

Tumia Vitu vya Jikoni kwako Kufanya Magoti na Viwiko vya Mikono kua laini

Unaweza kua na ngozi laini sana kwenye uso wako au mwili kwako lakini linapokuja swala la viwiko vya mikono/elbows au magoti case inakuta tofauti…

Read More

Si rahisi serikali kuagiza tohara kuwa lazima kwa wanaume – Dkt Kigwangalla

Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesema kuwa si rahisi kwa serikali kuagiza tohara kuwa lazima kwa wanaume…

Read More

Pamba na Afya yako ::17 Days Diet Day 7 to 11 (Part 3)

#17daysdiet#PambananaAfyayako#30dayshealthychallenge haya tuendelee last post nilishare diet ya kuanzia siku ya 1 hadi ya 6 ?????? . Leo nimeshare diet ya siku 7 hadi 11….

Read More

Pamba na Afya yako ::17 Days Diet Day 1 to 6 (Part 2)

#17daysDiet Hi #teamhealthylifestyle kwa wooote mloomba niwatumie email watu zaidi ya 150 kwa kweli mmeni impress kwa kuona kuna uhitaji na watu mnajali kama sio kutamani…

Read More

Pambana na Afya yako ::17 Days Diet na yote unayohitaji kujua Part 1& 2

#detoxication eeee katika ile challenge ya #PambananaAfyayako??‍♂️wiki hii ni wiki ya kutoa sumu mwilini, kuna njia mbali mbali mie nimeamua kufanya zote, sababu ukifanya kitu kimoja…

Read More

Video ::: Powerful Monday Motivation

Kwakweli tunahitaji motivation kama hii let’s challenge each other na usawa huu wa Magu weee kila mtu atakua barabarani. Kwakweli huyu baba alibuni mbinu…

Read More

Eat and Live Healthy::Sababu 5 Za Kiafya Atakazopata Mtoto Akila Apple 1 Kila Siku

Kuna vitu huwa kwa sababu ya faida kwa watoto wetu shurti lazima tuwape au tuwalishe ,iwe wanakula wakiwa wana smile kwa kuwa wanapenda wanachokula…

Read More

TBT :Jua Hedhi Yako Inasema Nini kuhusu Afya Yako

Period ni kitu huwa kama taboo hivi wengi wakiwa hawakiongelei but kwa kuongea naamini kuna mengi mtu unaweza kuyajua hasa yakiwa mambo ya afya,we…

Read More