EATV AWARDS 2016
98 0

EATV Awards kwa mara ya kwanza ilifanyaka katika ukumbi wa Mlimani City siku ya Jumamosi, tulianza na cocktail huku tukisubiri wata wafike then tukio likaanza kama hivi. The Host wa siku hiyo alikuwa ni Salama Jabir, looking sleek in a white full white suit na baadae akabadilisha into a full beige suit. She clearly looked

Wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN) Wakutana
74 0

Wamiliki wa Blogs wanachama chao kinaitwa Tanzania Bloggers Network TBN,kwa mara ya kwanza wakiwa wanakutana kwa pamoja katika mkutano wa siku mbili . Mkutano huo ukiwa na kauli mbiu ya Mitandao ya kijamii ni ajira itumike kwa manufaa. Mwenyekiti wa wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN) Joackim Mushi Kushoto akiongea na Mkurugenzi wa Idara ya

You Can’t Afford to Miss Nywele Natural and beauty expo
119 0

Hey una habareeee Tanzania #nywelenaturalandbeautyexpoevent ni jumapili hii ya tarehe3 , fika ujionee. #naturalista na wauzaji wa vifaa vya nywele zako @kipilipili.comtz @kipilipili.comtz @abeenaturals Na wengineo wakikupa maujuzi jinsi ya kupenda nywele zako na uzitunze Sambamba na maonesho na mauzo ya bidhaa . . Mahali ni #jozilounge Msasani Kiingilio ni Bureeeeeeeee Zaidi wafuate @kipilipili.comtz @abeenaturals

TROWBACK THURSDAY TO 8020FASHIONS WOMEN CELEBRATION 2015 TEA PARTY
189 0

LEO TBT NI ILE YA TEA PARTY MWAKA JANA HAKIKA ILINOGA TUJIKUMBUSHIE YALOJIRI SIKU ILE NIA NA DHUMUNI YA SHUGHULI HII YA 8020 FASHIONS WOMEN CEBEBRATIONA TEA PARTY ILIKUWA NI KUSHEREHEKEA SIKU YA WANADAWAKE DUNIANI ILEEE AMBAYO HUSHEREHEKEWA KILA MARCH 8 DUNIANI KOTE  NA HUU NI MWAKA WETU WA NNE 4 BLOG YA 8020 KUISHEREKEA

EVENT ::MOTHER & CHILD GALA
125 0

CEO wa kampuni ya 247 na Muandaaji wa Mother & child Gala Dorothy Kipeja Dorothy Kipeja CEO wa kampuni ya 247 Communications aliandaa Mother & Child Gala ambayo lengo Ni kuongeza ukaribu Na uwazi baina ya Mama Na Mtoto. Mother and Child Gala ilikuwa ni Kwa wa Mama Na watoto wa miaka 8 mpaka 12

THROWBACK THURSDAY ::KIDEO KWENYE WOMEN’S CELEBRATIONS 2014
114 0

Hii ilikuwa mwaka 2014 ,women celebration ilifana sana ,na mwaka jana nilifanya kuwa honor wanawake wajasiriamali wanaotumia vizuri mitandao ya kijamii. SHUHUDIA PETERMOE ALIVYOKUWA ANATUSHUGHULISHA WOMENS CELEBRATIONS