EYE CANDY

Eye Candy of the Day :::Benny wa Flashlight Studio

Huyu ni Benny nnachojua he is so fine na ni  Photographer/creative director Owner:FLASHLIGHT STUDIO He deserves kua eye candy sababu he is so  fine  Anapiga…

Read More

Lord Have Mercy Woow Idris Elba for Essence August 2017 cc Carol Ndosi

The 44 year Old hot star ame find his purpose kwamba anapenda kua behind the camera ,japo he is good in front of it…

Read More

Eye Candy of the Day #23::Zac Efron

Zac Efron ni muigizaji na muimbaji wa Kimarekani mwenye miaka 29 ,ali rise to fame miaka ya 2000 hivi na movie ilomkikisha miaka hiyo…

Read More

Eye Candy of the Day : David Gandy

Ni British Model ,alizaliwa maiaka 37 iliyopita mara ya kwanza nilimuona kwa blog ya Mvuto Kwanza ya Martin Kadinda 

Read More

Eye Candy of the Day #21 :Mahershala Ali

Huyu umeshakutana nae kwenye movie ambayo imeshinda Grammy juzi kama Best Motion picture na yeye akishinda kama supporting actor??kama bado tafuta hii movie ,ila…

Read More

Eye Candy of the Day #20 ::Ali Kiba aka King Kiba

Born in 1986 Ali Kiba ame prove kuwa jina la King Kiba halikukosewa kupewa baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu akaweza kurudi na…

Read More

EYE CANDY OF THE DAY #19::THE WEEKEND

The Weekend ndo jina lake la kisanii la alipewa Abel Makkonen Tesfaye na wazazi wake,kazaliwa tu mwaka 1990 huyu chalii ,natokea Canada ,anaimba,ana andika nyimbo…

Read More

Eye Candy of the Day #18 :Davto

Davto is our eye candy of the day he is handsome,stylish ,fashionable and cool. Dapper in Suit  super casual in shorts and loafers  black…

Read More

Eye Candy of the Day #17::Tyrese Gibson and his love for Kanzu

Tyrese ana new style that he has been loving for sometime now,may be ni kusafiri kwenda Dubai mara nyingi hadi ame fall in love…

Read More

Eye Candy of the Day #16:::Andru Mahiga

Leo we have Andru Mahiga kama our eye candy He is so inspiring mbali na kupenda fashion ,he is also an entrepreneur ,Ni Manage…

Read More

EYE CANDY OF THE DAY #15:::GABO ZIGAMBA

Gabo ni mmoja wa wasanii wa bongo movie ambao wanafanya vizuri right now ,i mean naona kama ndo ambaye yuko relevant na ana kipaji…

Read More

Eye Candy of the Day #14::Young Daresalama

we have watched and seen Young D grow kuanzia akiwa this little rapper mpaka sasa ni mkaka.Amepitia mengi but he is back in the…

Read More

Eye Candy of the Day #13::Mario Lopez

Mario Lopez ni American actor and host wa show mbalimbali,currently ana show yake ya EXTRA He is 43 ila anaonekana mdogo hatari Mario is…

Read More

Eye Candy of the Day #12 ::Ryan Reynolds named GQ’S Man of the Year

Our eye candy leo ni the handsome ,moja ya our favorite hollywood actor Ryan Reynolds Amekuwa miongoni mwa list ya GQ’s Men of the…

Read More

Eye Candy of the Day #11::Will Smith

Willard Carroll “Will” Smith Jr. is an American actor, producer, rapper, and songwriter,miongoni mwa most powerful actor in Hollywood Huyu wengi sana tunamjua i…

Read More

Eye Candy of the Day #10:::Daniel Sturridge Liverpools Striker

I know humu wadau wengi ni wadada na mpira havipandi kabisaa unless mtu unamuongelea Bekham,Messi au Ronaldo ndo wengi wanawajua,well thank me later maana…

Read More

Eye Candy of the day #09::Jesse Metcalfe

Am sure wengi mmemjua huyu Jesse kwenye ile tamthiliya ya passion miaka ya 1999 hadi 2008 kama Miguel Lopez-Fitzgerald ,pia kwenye Desperate house wives alicheza…

Read More

EYE CANDY OF THE DAY #08:MICHAEL EALY

He is an America actor aged 43 ,me nilimjua from Beyonce’s  2008 Music Video Halo,ila alisha appear kwa video ya Mariah Carey Get your…

Read More

EYE CANDY OF THE DAY#07::BORIS KODJOE

Boris Kodjoe ni mwigizaji ,aliwahi kucheza Basketball but akaumia ikawa ndo mwisho wake,then akawa model he is real good looking . Ana umri wa…

Read More

EYE CANDY OF THE DAY #6 ::CHANNING TATUM

Sukari ya warembo Channing Tatum ni American actor and dance ,alizaliwa miaka 36 iliyopita.Alianza kujulikana na movie yake ya Coach Carter mwaka 2005,lakini breakthrough…

Read More

EYE CANDY OF THE DAY#5 ::OMARI HARDWICK

Yeah wengi mlianza kumjua from Being  Mary Jane series but ooh well now he is doing so well kwenye POWER . There is no…

Read More