Fashion

Heels Zinapokushinda Vua tembea Peku and Carry them Louboutins

As much as zinatupendezesha na ku elongate our legs ,HEELS are painful,well sio but at least Louboutins are. Watu wanavipenda sana hivi viatu but…

Read More

Jacqueline Mengi wore Victoria Beckham for The Adesign awards ceremony in Como,Italy

Finally nimepata the designers name ya hii nguo  alovaa Jacqueline Mengi kwenye The Adesign awards ceremony in Como,Italy Nilipenda sana the simplicity yet such a…

Read More

Triple Denim Style You Would Love by Juma Jux

Very rare for men to wear double denim let it alone triple denim introducing his new denim cap  nimecheka Afroswagga wameuliza does the cape…

Read More

Rihanna Anapopimp na kulipa Muonako mpya wa Pazia Lako la Lace lace

Rihanna is a  fashion risk taker who always slays She knows how to WERK IT Over the weekend alienda kwenye birthday part ya goddaughter…

Read More

Vanessa Mdee nae Atinga the Corset Trend ,Yay or Nay???

The corset trend imekua everywhere na one thing we can all agree on ni kwamba its not easy to pull it off and its…

Read More

David Beckham Launches Latest Collection With His Wife Victoria Supporting him

David Beckham anafata nyayo za mke wake Victoria Beckham ,naona kama familia ambayo iko so stylish wana share their designing side na fans wao…

Read More

Barack Obama Alivaa Tuxedo moja kwa miaka nane na wala Hatukugundua ,Michelle Obama Atujuza

Well Michelle Obama ame tengeneza jina lake la Fashion Icon kwa kua mvaaji mzuri wa mavazi mbalimbali kipindi chote akiwa First lady . na…

Read More

NANCY SUMARI APONGEZA UKUAJI WA SEKTA YA MITINDO NCHINI

Nancy ni mdau mkubwa sana wa mitindo,akiwa pia ametokea kwenye mashindano ya u miss ,lakini aki supoti sana wana mitindo nchini. nilipo ona hii…

Read More

Kanye West to design uniforms for Calabasas High School sports

Kanye West ni collage dropout ,but ameona arudi high school  instead Inasemekana kwamba anataka ku design uniforms kwa Calabasas high school tena nguo za…

Read More

Lupita Nyong’o Wows in Jason Wu at the CFDA Fashion Awards 2017

CFDA Council of Fashion Designers of America They celebrate and honor all who did well in the fashion industry Lupita Nyong’o is well known for…

Read More

This What Ariana Grande Wore for her Manchester Benefit Concert

  Wengi wenu mliskia kuhusu attack ilofanyika Manchester na kuua takribani watu 22 na 119 kujeruhiwa May22 mwaka huu kwenye concert ya Ariana Grande….

Read More

Kendall Jenner Joins Adidas as the Newest Ambassador

Its like all the Athlete brands are not complete without the It Girl ,Bella Hadid’s got Nike, Gigi Hadid fronts for Reebok and Kylie…

Read More

Baada ya Rihanna kuwavuruga na Outfits zake ,leo kaja na hii Street Style

Rihanna kwa wiki ilopita aliwavuruga watu sana na muonekano wake wa oversized Suit na full Denim  Hizi hadi leo zinawavuruga watu Huyu ni Riri…

Read More

This is how you Break into Fashion with Kevin Hart’s Stylist Ashley North

Wengi tupo kwenye fashion industry tayari na we are fortunate sasa kama upo au bado unataka kuingia basi video kama hii basi itakufaa sana…

Read More

MELANIA TRUMP CHOSE D&G AMONG OTHER DESIGNERS FOR HER OUTFITS WHILE IN ROME

Baada ya Italy ni zamu ya Rome ,japo kashaondoka Rome ,we will be breaking down the outfits she wore on her trip to Rome…

Read More

Fashion Hits and Misses on Billboard Music Awards with Wendy Williams

Billboards Music Awards ilikua juzi kati,Wendy amefanya hits and Misses za Fashion siku hiyo with fashion gurus  Celine Dion in Stephane Rolland Haute Couture…

Read More

Rihanna is Bringing back the Oversized Suit of the 90’s ,and we are loving it

Oh Riri, we are forever fans of your style Now Rihanna just brought back the 90’s oversized khaki suit . i just love it…

Read More