Full List of Winners #GoldenGlobes Awards 2017
33 0

Hawa ndo walioshinda kwenye tuzo kubwa sana duniani GOLDEN GLOBES 2017. Tracee Ellis Ross – Best Actress in a TV Series (Musical/Comedy). The second black woman to win this award ever! It was a big night for the film and TV industry last night at the Golden Globes Awards 2017. La La Land, The Crown,

Janet Jackson at 50 Welcomes A baby Boy EISSA AL MANA
49 0

IT’S A BOY Janet Jackson and her billionaire husband welcomed their first child ,a son on Tuesday Jan 3. According to People Magazine “Janet had a stress-free healthy delivery and is resting comfortably.” Janet alifunga ndoa na mume wake mwaka 2012 na mwaka jana mwezi MAY ndo tetesi zilianza kusambaa kwamba Janet alikuwa mjamzito ,sababu

Mwenye Instagram yake Karudi ,World Kim Kardashian is officialy back on Instagram
47 0

Kim Kardashian is back on instagram tangu October mwaka jana ,ambapo aliamua kukaa kimya baada ya ile roberry ya Paris am so tired kuandika  hii robbery basi tu,na mpaka sasa hamna walichopata about wale wezi waloiba zile jewelry zake. Baada ya sakata lile Kim alimute kwenye social media zake zote ,japo mwaka jana mwoshoni alotokezea

Serena Williams Flashes her Simple Engagement Ring While Out With Fiance Alexis Ohanian
80 0

Tennis star Serena William is engaged to Alexis Ohanian baada ya ku date just for a year. Serena who is 35 and her fiance founder wa reddit walionekana wakiwa wanaenda for a quick Trip ,ambapo Serena was seen flashing her simple White gold ring .   Tofauti na mastaa wengi ambao wanapewa au wengine kupendelea

Lavidos Shares 5 Lessons She learned in 2016
51 0

Our favorite fashionista is ending 2016 with a list of lessons she learned this year. LESSON #1 SEEK GOD IN ALL YOU DO. A little confession here, I’ve made some decisions in life that were of the flesh and not led by God. These poor decisions have definitely humbled me and taught me some VERY

When Elizabeth Michaels Inspires You but Your Dress Comes out Wrong
80 3

We always say ni okay kuwa inspired but ku copy halafu ukaenda kwa mtu ambaye hajakuwezea mhh matoeko yake ndo haya. Lulu wore this dress by Evecollections on Swahilifashionweek And i understand wengi tulipenda the dress hata ku save picha ukiwaza utakuja kushona,this is all okay ila sasa kama ukitaka copy kama hivi ni vizuri