FLAVIANA MATATA FOUNDATION

Flaviana Matata akabidhi Majengo ya Madara 2 Shule ya Msingi Msinune ,Bagamoyo

MWANAMITINDO wa kimataifa afanyaye shughuli zake nchini Marekani, Flaviana Matata madarasa mawili ya shule za msingi iliyopo katika kijiji cha Msinune kilichopo kata ya…

Read More

Flaviana Matata Foundation yatoa vifaa vya kujifunzia kwa wanafunzi 290 pamoja na vifaa vya kufundishia kwa walimu wa Shule ya Msingi Msinune

Leo tumetoa vifaa vya kujifunzia kwa wanafunzi 290 pamoja na vifaa vya kufundishia kwa walimu wa Shule ya Msingi Msinune . Flaviana Matata Foundation…

Read More