LET’S THROWBACK THURSDAY TO SELFIES FROM DEO AND FLAVY’S WEDDING RECEPTION
105 0

It’s Thursday right????tucheki na selfies toka kwa Flaviana Matata Wedding Selfies kwa Harusi zilikuwa nyingi mnoo tumecheki insta hizi ni baadhi tulizopata ,kama ulipiga selfies post halaf hashtag #MrandMrsMassawe au DeoandFlavy then tutazipost humu fasta. Moi and the Bride Flavy #MrandMrsMassawe #DeoandFlavy The bride,Dada kubwa na Da Zeze Gentlemen Bdozen,Millard ,Msando na Jux Luca na

MV BUKOBA YATIMIZA MIAKA 20,FMF YAIKABIDHI SERIKALI KIJITI
79 0

Mwishoni mwa wiki ya Tarehe 20 May ,yalikuwa maadhimisho ya meli ya MV BUKOBA kutimiza miaka 20 tangu ipate ajali na kuua maelefu ya waTanzania akiwemo Mama mzazi na kaka binamu wake ambapo imempelekea,Mwanamitindo Flaviana Matata kila mwaka yeye kuungana na wakazi wa Mwanza na wafiwa wengine kuwafanyia misa wahanga hao waliotanguliwa mbele za haki

USIKOSE KUMCHEKI FLAVIANA MATATA KWENYE KIPINDI CHA MKASI JUMATATU HII
77 0

Yes ni supermodel and mjasiriamali Flaviana Matata atakuwa kwenye kipindi cha Mkasi wiki hii,Jumatatu ya tarehe 15 .Hapa Salama akijaribu rangi ya kucha ndo muangalie muone alitokelezeaje Flaviana alialikwa kwenye Mkasi kuongelea mambo mengi ikiwa moja wapo ni Rangi za kucha alizozindua hivi karibuni za Lavy Nail Polish Hapa ni siku ya uzinduzi wa Lavy

UZINDUZI WA RANGI YA KUCHA YA FLAVIANA MATATA :: LAVY NAIL POLISH
137 0

Flaviana Matata amezindua  bidhaa yake za rangi yake ya kucha, inaitwa LAVY NAIL POLISH, ilifanyika PIKASSO SALON AND SPA. Flaviana Matata ni mwanamitindo wa kitanzania wa kwanza kulaunch rangi yake ya kucha nchini. Rangi hiyo inakuja in different varieties of colours kama pink, orange, purple, brown na zingine, rangi zipatazo nane. Rangi zitakuwa zinapatikana Shear

FLAVIANA MATATA FOUNDATION YATOA MSAADA SHULE YA MSINGI MSINUNE
107 0

Taasisi ya Flaviana Matata ilizindua rasmi msimu wa “BACK TO SCHOOL” kwa kutoa vifaa vya shule kwa jumla ya watoto 270 wa Shule ya Msingi Msinune ambayo ipo chini ya ulezi wa mwanzilishi wa #FMF na mwanamitindo wa Kimataifa Flaviana Matata. Zaidi ya kutoa vifaa vya Shule Flaviana Matata Foundation kwa kushirikiana na wadau wamefanikiwa

92 0

YES NI MODEL WA KITANZANIA ANAEFANYA SHUGHULI ZAKE ZA UANAMITINDO NCHINI MAREKANI , NI YEYE TENA KWA MYHABIT CATALOG