Shujaa Alphonce Simbu atua nchini!
25 0

· Asema kazi ndio imeanza. · Atoboa siri ya ushindi wake…. Wingi wa wenzetu unawabeba! Wawakilishi wa Tanzania katika mbio za 14 za Standard Chartered Mumbai Marathon Alphonce Simbu na mwanadada Magdalena Krispin, wamewasili nchini huku mshindi wa mbio hizo Alphonce Simbu  akitoboa siri nzito kuhusu ushindi wake ambapo alichukua nafasi ya kwanza akimtimulia vumbi mpinzani wake

Lavy Workshop Imeandaa Semina Kwa Wote Wanaotumia Bidhaa Za Lavy.
25 0

Jana kampuni ya bidhaa za kucha, Lavy iliandaa semina kwa ajili ya baadhi ya watengeza kucha wanaotumia bidhaa zao ili kufundishana mawili matatu kuhusu bidhaa hizo na sekta nzima inayohusu masuala ya kucha. Semina hii ilifunguliwa rasmi na Naibu Waziri wa Afya, Doctor Kigwangala. Changamoto kwenye sekta hii ni nyingi kuanzia kwenye bidhaa, utengenezaji wa

SN COSMETICS WAKALI WA VIPODOZI KUTOKA MAJUU
132 1

NAOMBA NIWATAMBULISHE KIJIWE KIPYA CHA UREMBO AMBAKO UTAPATA VIPODOZI AINA ZOOOTE ZA UREMBO KUANZIA MAKE UP /MAFUTA YA NGOZI / NYWELE  KUTOKA SWEDEN /MAREKANI NA UJERUMANI WANAPATIKANA ::GETI LAKUINGILIA MLIMANI CITY UPANDE WA CHUO WASILIANA NAO ::0754985858. WAFUATE INSTAGRAM @ NESHAMRINGO   LIPSTICK HII NI NZURI SAANA NA INAKAAVYEMA MDOMONI NA PIA ANALOCOLIZE …MANYANO PIA UTAPATA

Mtanzanian aibuka mshindi Mumbai Marathon!
23 0

Mtanzanian aibuka mshindi Mumbai Marathon! • Awatimulia vumbi Wakenya, Waethiopia. • Asema ni Ushindi wa Watanzania Mtazania Alphonce Simbu, ameibuka mshindi wa mashindano ya Mumbai Marathon ya mwaka huu huku akimtimulia vumbi Mkenya Joshua Kipkorir katika kundi la wakimbiaji wa nje. Ttanzania huyo aliongoza huku akifuatiwa na Wakenya 7 and Waethiopia 2 katika 10 bora.

Naibu Waziri wa fedha aitaka UTT MFI kufika vijijini
36 0

NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, ameitaka Taasisi ya Utoaji mikopo na huduma za kifedha ya ‘UTT Microfinance’ kuandaa mpango mkakati wa kuwafikia wakulima vijijini na kuwapa mikopo itakayowasaidia kuzalisha mazao kwa wingi. Akizungumza jana kwenye hafla fupi ya kuzindua rasmi bodi ya wakurugenzi ya Taasisi hiyo, Kijaji, alisema Tanzania ya viwanda

Shule Direct yatoa msaada Shule ya Sekondari Viziwe Njombe
40 0

Mkurugenzi wa Shule, Mchungaji Alphonce Ngavatula (katikati), akielezea changamoto za Shule kwa watumishi wa Shule Direct, Faraja Kotta Nyalandu (wa pili kulia) na Stephen Mmassy (wa kwanza kushoto) na Dr. Cosmas Mnyanyi (wa pili kushoto), Mkuu wa Kitengo cha TEHAMA kwa Walemavu kutoka Chuo Kikuu Huria cha Tanzania na aliyesimama wa kwanza kulia ni Mkuu