HAIR STYLES

Hair Look of the Day from Miriam Mauki

Love these kinds of hair styles ,mabutu flani amazing sana.Tena ukivaa na kitenge basi African Woman huyu hapa Miriam Mauki hair done by Timelesstz…

Read More

Let’s judge ::: Vj Penny Debuts Blonde Rough Dreads Style

Hatujamskia Penny for sooooo long ,whats up girl m,how have you been???its been a minute Well katika kurudi kwake tunamuona akiwa kaja na new…

Read More

Hair Style ya Lupita Nyong’o Kwa Oscars 2018 Imekua Inspired na the Amasunzu Kutoka Rwanda

Lupita anazidi kutuonyesha na kuwa proud kwa kua mu Africa especially East Africa ,amekua aki embrace Vitenge ,hair style pia za ki Africa. Kwenye…

Read More

Let’s Judge ::Baada ya Ben Pol ni Ommy Dimpoz na Ali Kiba Waweka Rangi kwenye nywele

Tulimuona Ben Pol akiwa ameweka nywele zake rangi ya kijani ,wengi walimshangaa kila  mtu akiwa na maoni yake ila hawa ni wasanii lazima kujitofautisha…

Read More

Jacqueline Wolper Debuts Blonde Braids for Valentines Day

Wolper yeye alishasuka za Valentine zinaweza kua sio kwa ajili ya sikukuu ya wapendanao but zimesukwa muda muafaka. For some reason huwa anapendeza sana…

Read More

Lupita Nyong’o on the Culture of Hair for Allure’s March 2018 issue

The Oscar award winner Lupita Nyong’o ana share mambo mengi kuhusu nywele zake /kipilipili chake na jinsi yeye na hair stylist wake ernonfrancois wanavyo come up…

Read More

Irene Paul Rocks Natural Hair So Well

Moja ya warembo ambao wamekubali nywele zao ,na ni hard ku keep up na natural hair ambazo ni ndefu maana kuna zile fupi za…

Read More

Nancy Sumari Styles her Wig

Well she is a naturalista but right now she wears wigs ,she is still natural but ameamua kujaribu something different. Which is fine kila…

Read More

Solange Knowles’s Hair is Game Changing

We have know Solange to be very stylish ,unpredictable and unique .She styles her self with outfits you ever thought can be won ,but…

Read More

Style za Nywele za Uzi #03

Yes hii ilikua count down ya nywele za UZI Ila style za uyu dada zinamfaa Vanessa Mdee,Lulu humsuki hizi nywele art

Read More

Style za Nywele za Uzi #02

Pumzisheni lace wigs msuke basi hata nyewele za uzi

Read More

Blac chyna Rocks the longest Braids ever ,she is giving us Life

It seems kwenye ulimwengu wa mitindo sasa hivi wapo wanaosema less is more na wanaosema no,more is better Blac chyna went ahead and gave…

Read More

Urembo::: Style za Nywele za Uzi #01

Watu wachache sana ambao kwa sasa wanasuka hizi nywele za uzi.Baada ya kuingia ma lace wig ,mambo ya front sijui nini mnajua wenyewe wenye…

Read More

We are Loving Lady Jay Dee’s Blue hair ,It’s Bold and looks good

Lady Jay dee katoa her new song I Miss you ,i cant wait for her video sababu her hair inanifanya nisubiri kwa hamu hiyo…

Read More

We are Loving Faiza Ally’s Hair Bun

Pale Faiza anapo amua kwenda out of the box for her hair do,nafikiri hii ilikua make up na hair do ya maternity shoot may…

Read More

Would you rock this hair do???

Nawaza kama huyu model hapa ndo angekua amemaliza,yani anatembea zake ,am sure wengine wangeanza ku admire na kuiga hii style. Especially mtu kama Rihanna….

Read More

Alicia keys rocks neon Box Braids ,are we loving the color or nah ??

Linapokuja swala la urembo wa nywele na makeup Alicia Keys anafanya kile anapenda na anachotaka ,moja ya sababu we love her ,she is genuine…

Read More

Ciara Aonyesha kwa Mara nyingine Style ya Nywele ambayo huipenda akiwa amejifungua (Faucx Locs)

Kama wanawake wengi ambao wana struggle wakati wamejifungua kwenye ku maintain nywele zao ,hata kwa mastaa nao ni hivyo hivyo. Kibongo bongo kabla hujaifungua…

Read More

Bongo Fashionistaz na Hair Style ya Bob ,Vanessa Mdee,Jokate ,Mgece and more

Bob Style kwa sasa ni habari ya mjini,iwe weaves au nyweke zako,braids whatever texture of hair inapendeza sana ,inasaidia ku elongate your neck na…

Read More

My Favorite Bridal hair and Makeup Look this June

This bridal look so far ni the best this June i mean look at her all beautiful and natural flower power

Read More

We cant get over kwena Baloyi’s Uniques hair style

Kwena ni fashionista and stylist she has an impecable unique  style ,very unique and yet so chic We a re drooling over her hair…

Read More