HIJABISTA

Hijabi Olympian Ibtihaj Muhammad at the ESPY Awards Red Carpet

Ibtihaj Muhammad ni Mwanamichezo ambaye ni Sabre fencer wa kule Marekani,ni mwanamke wa kwanza kuvaa hijab akiwa kwenye mashindano ya Olympics ya mwaka 2016…

Read More

Hijabista of the Day :: Blogger Azure Kange

Azure Kange nilimjua alikuja ofisini kuchua tickets zake za event ya Oriflame and sijui tuliongea nini tukafikia kushop online kwenye store ya shein,akatuelezea na…

Read More

How Wema Sepetu,Vj Penny ,Aika Navy Kenzo and others Rocks Hijab this Ramadan

Ramadan yoyote wengi wanajitahidi kuvaa stara ,wakiwa wa kristo kwenye mialiko pia wanavaa hadi hijab ,inapendeza,ni holy month hata hivyo. Tucheki watu maarufu mbalimbali…

Read More

This is How to Rock Your Abaya This Ramadhan

Mwezi wa toba huu wanawake wengi wanapenda kuvaa Abaya’s hata ambao sio waislam ,sasa naomba kuwa ways mbalimbali ambazo waweza vaa Abaya yako ….

Read More

#Flash Back Friday :: Missie Popular Hijab Style This Ramadan

Leo tupo na Mariam Ndaba aka Missiepopular tuna share her recent hijab styles kipindi hiki cha Ramadan hope she inspires you Look one its…

Read More

Hijab Tutorials Special for Ramadan 2018

Ramadhan inaweza kua Kesho insha Allah Tucheki hijab tutorials mbalimbali ambazo waweza ku rock this Ramadan na baada ya hapo  

Read More

Ideas ya nini cha Kuvaa Kazini kipindi cha Ramadhan

We all know Ramadhan ni next week nimegoogle nikaona kati ya tarehe 14 au 15 leo ni tarehe 7 so its exactly a week…

Read More

Hijabista :: Maxi Skirt as Worn by Dalal

Moja ya vitu rahisi na pia essential kuwa navyo kama wewe ni hijabista ni Maxi skirt ,they are modesty and easy to style,but hata…

Read More

Style rahisi za Jinsi ya Kufunga Hijab

Hizi ni baadhi ya videos ambazo zinaonyesha simple hijab tutorials,kwa wale wanaopenda au wanaofunga hijab wanaweza kujifunza hapa. Lazima ujifunze kufunga kwa ku practice…

Read More

Modesty Hijabista of the Day :::Rabia YILDIZ & SEMİHA BEKTAŞ

Leo ni Al Jumaa tucheki different outfit ideas kutoka kwa modesty fashionistas around the world they are covered ila still Masha Allah wako stylish…

Read More

Hijabista Ameena Abdul

Hijabista Ameena Abdul ana killer style  love this yani ana deserve kuwa kwenye Vogue 

Read More

Happy World Hijab Day

Leo February 1 ni siku ya hijab duniani Mara ya kwanza ilianzishwa February 1st, 2013,  marked the first annual World Hijab Day (WHD) in recognition of millions of…

Read More

How Modesty Hijab Fashionistaz Style their Pleated Skirts for Mawlid Day

Looking for something simple to rock on Mawlid day??well here are how hijabis rocks their pleated skirt,ziko on trend right now ,they are so…

Read More

First hijab-wearing Barbie Inspired by Olympic fencer Ibtihaj Muhammad

Big mometns for Hijab wearing community baada ya kampuni inayotengeneza midoli ya barbie Mattel ku launch a hijab barbie doll ambayo imekua inspired na…

Read More

Hijabista :: Queen of Abaya Style

Ni Fariday zamani alikua model akijulikana kama Belina Mgeni,she is now a hijabista and anavaa vizuri Masha Allah stara imekolea . Nilichat nae kwenye…

Read More

Apple Kuja na Emoji ya Mwanamke Alievaa Hijab

Good News kwa wanawake wa kiislamu ambao wanavaa hijab,Kumekua na malalamiko kwamba wanaovaa hijab hawana emoji ,kuna ubaguzi wa dini kwenye hizi emoji,but Apple…

Read More

Eid Hijab Tutorials

Asalam Aleykum Eid hiyo yakaribia,najua mshanunua na madish dash au ambacho utavaa wakati wa sala au baada kwa ajili ya mialiko . Kuna few…

Read More

In the Loving Memory of Our Favorite Hijabista Shea Rasol

So on Saturday nilipost outfit ideas toka kwa Hijabista Shea Rasol,Post kama hukuicheki ingia HAPA  Actually ni schedul hii post ijumaa ili itoke jumamosi…

Read More

Ijumaa Kareem from these Hijabi Ladies

Ramadhan is coming and Insha Allah mungu atuwezeshe wote tuwe na funga njema,tumche Allah na uwe mwezi wetu wa kubadilika kabisa maana hatujui kama…

Read More

Ya Curvy Hijabista ::Muse Gold

Jina lake ni Miski Muse, anajulikana kama  @musegold huko Instagram,ni mrembo ambaye anaalipost instagram picha akiwa amevaa jeans ambayo imemfit kama mtakavomuona ni ana…

Read More

Nike wanakuja na collection kwa ajili ya wanamichezo wa kiislamu wanaovaa HIJAB

Hii ni good news kwakweli ,cultural change is taking its effect.The giant brand Nike wameona umuhimu wa kuja na collection PRP HIJAB mmahsusi kwa…

Read More