All posts in: K.K.W

69 Views

KKW ::UA AINA YA ORCHID

KIZURI KULA NA WENZIO WIKI HII NIMEAMUA KUSHARE NAWE JUU YA HILI UA LA ORCHID AMBALO LINARANGI NZURIII NA MUONEKANO WAKE WAWEZA SEMA NI UA LA ARTIFICIAL YALE  YA PLASTIC. NILILIJUAJE HILI UA: NI WAKATI HARUSI YANGU ,MWENYEWE KWENYE ...

49 Views

K.K.W ::COOL SCULPTING /CRYOLIPOLYSIS

YESSS IYO NI MASHINE  YA AMBAYO INAPOOZESHA FAT  NA KUUA MAFUTA YASOHITAJIKA KATIKA SEHEMU HUSIKA ZILIZOPO NDANI YA MWILI WAKO , ZAIDI INATUMIKA KAMA KIFAA CHA UREMBO NA PIA MATIBABU. SABABU KUNA WATU WANAMARADHI KUTOKANA NA KUZIDIWA NA ...

63 Views

KIZURI KULA NA WENZIO :::PURSE ORGANIZERS

Kwenye kizuri kula na wenzio naomba nishee nanyi hii purse organizers wengine hawazijui wengine mnazijua na mmkeuwa mkizitumia labda. Uzuri wa hizi purse organizers ni kwamba kwanza zitakusaidia vitu vyako vikae kwa mpangilio maana huwa tunaweka tu ...

76 Views

WANAWAKE TUONGEEE ::www.8020forums.com

               kusom huu ujumbe TATA alokutana nao wa MUMEWE , ZAMA HUMU 8020forums.com NIMEKUWA NIKIPOKEA EMAIL ZA MASWALI NA USHAURI KUTOKA KWA WADAU MBALIMBALI ,YAKIWEMO MASUALA YA MAHUSIANO / MARADHI/ MAHUSIANO NA MAISHA KWA ...

42 Views

SABASABA 2015 SELFIE

LEO SAMBAMBA NA TEAM YANGU YA 8020 FASHIONS BLOG TULITEMBELEA MAONESHO YA SABA SABA KUONA KAZI ZA CLIENTS WETU SAMBAMBA NA KUONA YALOJIRI PANDE IZO….NA NILITUMIA FIMBO YANGU KWA PICHA ZA MJENGONI HUMO …..CHUNGULIAAAAaaaaaa  niko na ...