Mapishi

Cook with Kile :: Weekend Snacks Rice Crackers

Rice Crackers. Hizi zatengenezwa na unga wa mchele… Kuna namna mbali mbali waweza  kuzispice. | | MAHITAJI Unga wa mchele, Ufuta, chumvi, black pepper, cayenne…

Read More

Cook With Kile ::: Chicken Thigh na Mchicha (african amaranth green). |

Haya haya kijiwe cha mapishi wapata recipes mbalimbali kwa mkali wao Chef Kile , Leo nimepata kupika – Hapo waona ni Chicken Thigh na…

Read More

Wapikie wanao fried chicken na Velvet Cake by Aroma Of Zanzibar kwenye Eid kesho

Kesho ni Eid ofcourse madiko diko lazima yahusike Leo tucheki vyakula ambavyo watoto wanapenda am sure tayari pilau mnajua,tucheki cake ya re velvet na…

Read More

Jinsi ya kupika Kaimati kwa ajili ya Ftari na Aroma of Zanzibar

Ni weekend so am sure wengi mko home,na basi jitahidi kuliko ku order kila siku kwanini usijaribu kupita bites za iftar kwa ajili ya…

Read More

Jinsi ya Kupika Supu ya Kuku na Kuweka Juisi ya Chungwa

Karibuni; Leo nakupa recipe nzuri kabisa ya kupika supu ya kuku. Pishi hili ni rahisi sana na wengi twaliweza. MAHITAJI Kuku 1/2 kg –…

Read More

Chef Kile Goes for Chicken Tikka Pizza @ SKYZ Pizza Dar es Salaam

Nilipata wasaa kutembelea SKYZ PIZZA – DAR ES SALAAM – DAR FREE MARKET. Nikaagiza Chicken Tikka Pizza topped with Vienna Sausage , Sweet Corn…

Read More

How to Make Egg Cheese Burger Quick and Delicious Burger at Home with Chef Kile

Kama Burger ulikuwa waziona tu kwenye vibanda sehemu mbalimbali na ukawa unawaza jinsi ya kutengeneza well Chef Kile anakuonyesha step zote za wewe kufata…

Read More

Chef Kile Shows you How to Cut Watermelon Presidential Piece

Waijua watermelon presidential piece??? Well mie pia sikuijua ila Kizuri kula na Wenzio so Chef Kile ana share how to cut the watermelon presidential…

Read More