Kutana na Mwanamke Wa Kihindi mwenye miaka 78 Anayeishi Kwa Kula Kilo Mbili Za Mchanga Kila Siku!
42 0

Kuna mambo ukisikia waweza sema ni mazinga umbwe nilisoma hii story Bongocelebrity ,nikaona link nikaenda kusoma zaidi. So huyu mama mwenye miaka 78 anaitwa Kusma Vati kutoka India ambaye kila siku anakula mchanga wa kilo 2 na amaekua akifanya hivi kwa miaka 63 sasa ,alianza akiwa na miaka 15 . So hii diet kwake imekua

Is Caitlyn Jenner following Kim Kardashians foot step and going  for a Nude photo shoot???
42 0

Kumekuwa na reports za hivi karibuni that former Athlete turned reality tv star Caitlyn Jenner formerly known as Bruce Jenner ana mpango wa kufata nyayo za mwane wa kufikia Kim Kardashian alipofanya photo shoot ya paper Magazine akiwa naked. According to reports Caitlyn anataka kufanya hivyo sababu hajapata media attention kwa mwaka uloisha wa 2016,na

Versace Wanashtakiwa Kwa kutumia aina ya Code kwa watu weusi (Allegedly)
51 0

So the Italian Fashion House  Versace house inashtakiwa na mmoja wa wafanya kazi wake wa zamani kwamba huwa wanatumia code kujulishana kwamba kwenye duka ameingia mnunuaji au mtu mweusi,Mabomu haya basi yanarushwa pamoja na kutokumlipa kibarua fedha zake. Mshtaki ni Christopher mwenye umri wa miaka 23 ambaye alikuwa akifanya kazi at the Bay Area,akisema kwamba

Rafiki wa Kim Kardashian West Akanusha Uvumi wa Talaka ya Kim na Kanye West
61 0

So tangu Kanye alazwe mpaka kutoka hospitali kumekuwa na uvumi mkubwa wa wana ndoa hawa wawili kuachana. Wengi wakisema Kim anataka kuomba talaka ili aweze kuachana na Kanye ,zingine zikisema wanaishi nyumba tofauti sababu anahofia usalama wa watoto wao dhidi ya Kanye. But Leo kupitia mtandao wa Dailymail rafiki mkubwa wa Kim anaitwa Jonathan amesema

Aliemshonea huyu baba Mungu anamuona
109 0

Kupatwa kwa Mshono Najaribu kuwaza what happened alipenda huu mshono,alivaa bluazi ya mkewe au sielewi

Only  Kim Kardashian Could Make these Bike Shorts/Tights Look so Chic
112 0

Is Kim trying too hard with this bike shorts kind of thing??? Maana Mama wawili amekomaa ku make this a trend au ndo ile #Wataelewa tu. She went out wearing this bizarre outfit ,the bike shorts ,a sheer top and an oversized duster coat  For an out and about some times back in black bike