Mishono ya Vitenge toka Harusi Yetu launch #168
706 0

Weekend ilopita kulikuwa na the Launch ya kipindi cha Harusi yetu kitakacho onyeshwa kwenye Maisha Magic Bongo Na waalikwa walikua wengi but nilivutiwa sana na walovaa vitenge Champy Yahya killed it in a two piece outfit crop top and a high slit maxi skirt Salma Msangi Sarah Soso in a high low kitenge top from

Mishono Ilonibamba Wiki Hii #143
880 0

Mishono ni mingi sana huko instagram na kwenye blogs mbalimbali,ila najitahidi kufanya selections ya ile mizuri au yenye kitu kipya maana ni ukweli kuwa mishono inajirudia vitambaa ndo huwa ni tofauti. one shoulder dress with a side pemplum and one long sleeve  love this mshono kwa chini ,so girly  Kitenge dress with cold shoulder effect 

Jokate Mwegelo was on her A Fashion game with Kitenge Ruffled dress from Doricite2000
444 0

Jokate ni moja ya influencers wakubwa sio kwenye urembo tu nafikiri hata kwenye maisha,ujasiriamali,elimu na mengine,hii imethibitika baada ya shule ya Majani ya chai kumualika kama mgeni rasmi kwenye mahafali yao jana. Nimependa kwamba alivaa kutokana na mazingira ambayo alienda And what a better way kama mgeni rasmi ambaye vijana wengi wanamuangalia na kuamua kuvaa

Who wore the Apron Printed Dress better by Fiafactory??
315 0

We love this Apron printed dress from a Nigerian fashion designer ,the label is called FIA FACTORY,the dress features two prints Let see who rocked it how Author Chimamanda Ngozi Adichie wore the dress with black and burgundy shoes and simple loop earrings Tv personality Bolanle Olukanni rocked hers with black ankle strap sandals ,love her hair 

Ankara Peplum Blazers
417 0

Today let’s all celebrate African prints blazers ,they have been everywhere in different designs and details can be worn with skirt,dresses even skirts both casual or dressed up in them Matchy matchy 1 set Bonang paired hers with jeans and belt  with cropped pants  perfect look for work bow kitenge blazer with pants for work

Jokate rocking Kitenge off shoulder dress with bell exaggerated bell sleeves toka kwa Doricite
385 0

for a casual and simple daytime outfit Jokate chose this cute african prints dress from doricite2000 love the  bell sleeves ,too cute style her dress with colorful sneakers