African Print Blazer Every One Should Own
162 0

A kitenge blazer is a must have kwa kile mtu,ni such a versatile piece to own.Can be dressed down with a skinny jeans,or dress with heels,its just you and how you want to wear your blazer ,Kuna so many stylish ways to incorporate it into you outfits. this one is from zuvaa ,nilichopenda na mkato

MITINDO #06::WEDDING GUEST OUTFIT DEAS
213 0

YOU GOING FOR A WEDDING AS A GUEST????NEW MITINDO FOR YOU BE INSPIRED DESA MISHONO/MITINDO THESE ARE NAIJA SWAGS WE LOVE THEM NA BONGO VITAMBAA VIMEJAA TWAKULETEA MISHONO MIKALI.

NAIJA SWAG #04
192 0

Wale wenye harusi au sherehe yoyote mnaohitaji kushona sare mishono hii hapa mwaweza pata hata idea ya mshono gani mshone. Too cuuteee

NAIJA SWAG
198 1

HUMU KWENYE NAIJA SWAG NAPO KUNA MISHONO KIBAO NYIE TU KUIMUNCH UNAMPELEKEA FUNDI