RAPPER WA KENYA STELLA MWANGI AJA NA CLOTHING LINE VAA KI AFRICA
153 0

Vaa Ki Afrika ni brand ya Rapper wa Kikenye Stella Mwangi ambaye anajulikana sana kwa jina lake la kisanii STL . Inspiration ya collection hii ilitokana na Stella mwenyewe kuwa anakosa nguo ambazo ziko kisasa na trendy ambazo ni African inspired. Hii collection pre production ilifanyika Oslo Norway ambako ndo anaishi,na samples zingine zilitengenezewa Kenya na

Cape and Off shoulder Dress for today’s Mishono #137
287 0

Leo tucheki mishono miwili ambayo am sure umekutana nayo,but kila siku watu wanaidevelop au kuongeza vionjo japo mwisho wa siku a cape dress will always be a cape dress So hii ni ile cape dress yenye touch of cold shoulders  the other one ni a shift dress with off shoulders effect akaongezea tu mpasuo perfect

Mishono 3  Mikali ya Wiki hii #135
305 1

Kwa wiki hii mishono bomba tulo ona ni hii mitatu ,iko fun , a little girl and flirty kwa mbaaalii  shirt dress nimependa walivyopanga maua,inaweza kuwa ni vitenge viwili flare kitenge jumpsuit the back off shoulder top and skater skirt  fun and girly

African Print Suit Everyone needs to own
165 0

leo tupate inspirations kwenye suti za vitenge ,they also go with buttoned shirts,tank tops,blouses etc and ziko functional pia waweza vaa for work,business meetings,na functions zingine utakazopenda Very loud prints  Mixed prints  Add a colored shirt  with a wrap around blazer  Pair  it with a bustier top  Add a tie  Pink  belted blazer  yellow and

Nini’s way of Styling her exaggerated sleeve top 3 ways
119 0

The trending off shoulder top that Fashionista Nini wore it three ways Having a cute top like this one ,kwakweli its worth wearing it mpaka hamu iishe .love the color,the exaggerated sleeves and floral prints look one with a pencil skirt  and matched her lip clutch and her pumps Look two going back to the

5 Times Kiki Zimba Styled Skinny Jeans with Her African Prints Top
219 0

Designer Kiki Zimba and her vitenge tops and how she rocks them with skinny jeans Flowy  Peplum Baggy slim line kitenge top with long sleeves bell sleeves top