MODEL

Model Elsa Hosk Ndo Atakaye Vaa Fantasy Bra ya $1 million dollars kwenye Show ya Victoria’s Secret

Show ya Victoria Secret kwa Models kuna vitu vitatu wana pigania kwanza kua tu kwenye list ya models watakao walk kwenye Victoria Secret ….

Read More

Model Miriam Odemba Atoa Siri ya Kutokuzeeka Mapema

Ule msemo wa Black don’t crack hapa ndo unaingia kwa watu kama Miriam Odemba ,kwetu sisi tunajivunia kila siku kwamba ni Mtanzania na bado…

Read More

Model Herieth Paul Kwenye Kurasa za Mbele za Elle Germany Toleo la September

Hello Model Mtanzania anaefanya kazi zake majuu Herieth Paul amepata shavu la kua kwenye kurasa za magazine ya Elle huko Germany . Toleo la…

Read More

Herieth Paul Channeling her Roots in Beuatiful Khanga

Irene Paul ni Model ambaye anafanya kazi zake ulaya na marekani,akiwa amesha walk Victoria Secret show mara mbili na akifanya kazi na designers mbalimbali…

Read More

Model Adut Akech Aweka Historia ya Kuwa Model wa pili mweusi kufunga show ya Chanel

Hizi fashion show huwa kuna anaefungua show na anaefunga ,big deal ikiwa ni kwa yule anaefunga show sababu designers wengi nguo ya mwisho kwao…

Read More

Miriam Odemba Apendezesha Zulia Jekundu Huko Ufaransa kwenye Cannes Film Festival

Miriam Odemba bado yupo into modelling ,na sasa akiwa anafanyia huko Ufaransa,Mrembo wa huyu mkali wa catwalk na pozi za hatare amekua akihudhuria tamasha…

Read More

Mnaonaje kukiwa na Vogue Africa Edition???Naomi Campbell calls out for one

Mwanamitindo wa kimataifa wenyewe wanasema Super model Naomi Campbell ame call out for the African vogue creation. “There should be a Vogue Africa,” she told Reuters. We…

Read More

Miriam Odemba Agusia carrier yake,Kimbia na Miriam na mengine mengi kwenye Mahojiano na World Moms Network

We all know know Miriam Odemba and we appreciate her,mbali na sisi hata wenzetu wengine wanampenda na kukubali sana anachokifanya.Amefanya mahojiano na  World Moms Network…

Read More

Q&A With Model and Miss World Tanzania ‘17 Julitha Kabete on being a #NovaBabe

Model Julitha Kabete ambaye anafanya kazi na Modelling Ageny ya 20 model management ya huko South Africa pia ndiye aliyetuwakilisha kwenye mashindano ya Miss World…

Read More

Zurich Street Style Yamnasa Our Very Own Miriam Odemba

Kwa huku kwetu Miriam Odembe ni mwanamitindo ambaye wengi tunamuangalia na kutu inspire ni legend kwenye tasnia ya uanamitindo,tangu miaka hiyo tunamuona kwenye tangazo…

Read More

Forbes Wamtaja Kendall Jenner ndo Model anaelipwa pesa nyingi Zaidi Duniani.

Well hongera kwa Kendall Jenner ambaye amechukua crown ya model Gisele Bundchen ambaye kwa miaka 15 ndiye aliyekua highest paid model. It was also…

Read More

Lais Ribeiro ndo Model aliechaguliwa kuvaa the $2M Victoria’s Secret Fantasy Bra

Congratulations to the Brazilian Model Lais Ribeiro ambaye mwaka huu kwenye Victoria’s Secret Fashion show itakayofanyika Shanghai China atavaa the Fantasy Bra,kupata deal au…

Read More

Hongera Flaviana Matata kutajwa katika list ya Most Influential Icons in Contemporary African Pop Culture

Yes mtandao wa www.africa.com umetoa list ya watu 10 ambao ni Most Influential Icons in Contemporary African Pop Culture ,ambao kwa namna moja au nyingine…

Read More

The Original Nineties Supermodels made an epic return to the runway for Versace at Milan Fashion Week

  Wale super models wa miaka ya 90 Carla Bruni, 49, Claudia Schiffer, 47, Naomi Campbell, 47, Cindy Crawford, 51, and Helena Christensen, 48, walitisha…

Read More

Hongera Herieth Paul kwa Kuchaguliwa kwenye Victoria Secret show 2017 for second time

We are proud sababu anawakilisha Tanzania,our very own model Herieth Paul Ni mmoja kati ya models 50 nafikiri ambao wamechaguliwa kua katika Victoria Secret…

Read More

Vj Penny ndo Model anaefatia kuvishwa na Wolper ,We cant wait to see the look

So Jacqueline Wolper under house of stylish alitangaza kwamba model wake mpya ni Penny ndo atamvisha this time,Wolper amekua na some hit and miss…

Read More

Victoria’s Bridal Shower #thuweinawedsvictoria

Model Victoria Leopold is getting married to her boo Thuwein Makamba.The couple wamejaliwa two adorable boys and they want to tie the knot soon….

Read More

Major Congratulations Kwa Millen Magese Kwa kujifungua Baby Boy Prince Kairo

We all know how Millen Magese amekua akitamani sana mtoto na Mungu ametenda ,na from all the awareness and suffering from endometriosis. God has finally…

Read More

Model Kutoka Uganda Aamito Lagum Kupamba Kurasa za Mbele za Jarida La Elle Uk Mwezi Agosti

Mwakumbuka kipindi kile kulikua na shindano la Africa’s Next Top model chini ya super model Oluchi Orlandi kama head judge. So mwanamitindo huyu atakuwa…

Read More

Melaniin Goddess Represent Black is Beautiful in these Photos

Anaitwa Khoudia Diop anatoka Senegal anajulika sana kwa rangi yake ya ngozi kua nyeusi may kuliko models wengi ambao umeshawahi kuwasikia au kuwaona. Of…

Read More

WE LIVE FOR BEAUTY IN DIVERSITY , 5 BLACK MODELS COVER THE APRIL ISSUE OF HARPER’S BAZAAR ARABIA

Harper’s Bazaar Arabia wanaunga the diversity trend  ambapo wame chukua models watanoAfrican American (Jourdana Philips, Lameka Fox, Grace Mahary, Ajak Gent and Nykhor Paul)…

Read More