MISHONO

Mishono Baada ya Uhuru

Tucheki Mishono ya kisasa siku chache baada ya kusherehekea uhuru,am sure hata kwenye Mishono kumepitia transformations kubwa sana ,japo mitindo inakirudia ila ya sasa…

Read More

Mishono 13 ya Weekend

Sijapost Mishono for like 3 days hivi naona kama mwaka ,but am back with More mishono na sasa hivi ntajitahidi niweletee hadi video ya…

Read More

Mishono ya kumalizia Mwaka Part 01

Tunakaribia kumaliza mwaka sasa hivi na kama wadau basi wa mitindo tutakuletea series ya mishono mbalimbali uwezo shona wewe na familia yake kwenye x…

Read More

Video za Mishono

Mishono on Monday Yassss So naona sasa hivi niwe nawaletea Video za Mishono mbalimbali ,mpate kuangalia vizuri zaidi mshono mzima maana sometimes picha zinaku…

Read More

Jichagulie Mshono 1,2 or 3 ?? plus Video mshono huu unavyoweza vaa

Its amazing kuona designer kama huyu anakuja na something this amazing,a simple accessory ambayo inaweza kubadili muonekano wako from normal to slaying mode ….

Read More

Pale unapoalikwa kwenye Harusi unaingia ku Slay na Mshono kama huu

Naona sasa hivi fringes kwenye evening dress zina kick sana huko kwa wenzetu.Wa Nigeria kwa kushona nguo bwana dah ki Africa wanashika nafasi za…

Read More

Hii Mishono Special kwa wanaopenda Nguo Ndefu #265

Yasss ,ni weekend right?nakuchia mishono kadhaa hapa uweze kuidesa,hii ni kwa wanaopenda nguo ndefu,but hata wa funpi unaiga mshono kama ulivyo unafanya inakua fupi….

Read More

Mshono Amazing kwa Flower Girls /Twins

Its a blessing kua na mtoto ,even more blessings kama ni twin tena twin girls ,kila siku naombea mapacha love them. Hawa ni twins…

Read More

Mishono 4 ya Dresses za Star wa Nigeria Adesua Etomi kwenye Ndoa yake ya Ki mila #264

Am sure by now mtakua mmeona kwamba kwa wiki hii walio trend sana kwenye mitandao ni Adesua Etomi ambaye ni mcheza sinema maarufu sana…

Read More

Badilika kama Dr.Shika na Mishono hii 25 #263

Ni muda wa kuji transform sasa ,Mishono 25 toka kwenye harusi ya mastaa wa Nigeria Benky W na Adesua ilifanyika weekend hii,Bibi harusi alivaa…

Read More

Mishono Mikali ya Weekend Hii #262

Weekend ya graduation hii,tunakuletea mishono mikali waweza shona kama una graduate au kwa yoyote tu.

Read More

Mishono Hii 3 ukivaa na Sneakers Itapendeza Zaidi #261

Weekend imeanza so we are looking forward to be comfortable in the weekend by wearing cute simple kitenge dresses and flats specifically sneakers yemi…

Read More

Mishono 4 Mikali kwa Warembo Single,Married,Divorced hata wale wa complicated #260

Naandika hii post kwakweli nacheki na hicho kichwa cha habari maana nshaandika vichwa vya habari karibia vyote na sitaki kurudia rudia so mtaenda tu…

Read More

Anne Idibia’s African mixed print Looks we Adore

Was her birthday juzi kati she posted a pic of herself akiwa amevaa kitenge shorts ,crop top na headwrap ya kitenge pia.Unapo mix vitenge…

Read More

You want to Slay?? Jaribu hii Mishono #259

Kwa wale wote wanaopenda ku slay basi mishono ya leo mbona kazi inabaki tu kuwa kwenu,wedding guest dresses,au for work ,even casual looks ….

Read More

Skirt or Trousers???

Mshono upi umekuvutia???Wa skirt au suruali trumpet sleeves with skirt  or with trousers

Read More

Mshono :: Kitenge Blazer Dress

Yes mwazikumbuka hizi blazer dress ambazo zimevaliwa sana ,tuliziongelea sana ,hata juzi nilipost hizi plaid,checks blazer dress ambazo zina trend kwa sasa Na kwenye…

Read More

Mishono 22 Kwa Wadada wa Shape zote ,Ukikosa Mshono hapo shape yako sio ya nchi hiiii #258

Ukiwa petite,short ,tall ,curvy kwa shape yoyote tu hapa lazima kuna mshono wako mmoja,just scroll chini kuona yote ujichagulie.Kama haupo hapa basi shape yako…

Read More

The Coolest Mishono of this Week #257

Mishono mikali 16 ambayo iko very cool na tukaipenda sana. Off shoulder slit dress love this kitenge top paired with jeans  bridesmaids in Blue …

Read More

Mishono ya Kuanzia Mwezi November #256

Jumatano leo WCW wetu ni wanawake wote wanaopenda Mishono,especially humu kwa 8020Fashions maana ndo post zinazoongoza kwa kupendwa.

Read More

Mshono wa Toke Makinwa ni Fire

Mshono flani amazing sana the color na mbwembwe zote ziko zimekaa mahala pake. her shoes is goals   

Read More