All posts in: NATURAL HAIR

222 Views

The Beautiful Anne Kansiime

Mbali na kwamba she cracks our ribs ila Anne is a beautiful woman,ana ngozi flani amazing,she is natural  and just  fab . her recently photos are by far amazing lots of colors,african prints,statement necklaces name it she is fierce this ...

3091 Views

NATURAL HAIR STYLE: 7 DAYS 7STYLES

HAYA KWA WALE WENZETU MANATURALISTAZ PATA STYLE HIZI ZA WIKI NZIMA ZA NYWELE ZAKO.SAA NYINGINE UNACHOKA KUSTYLE STYLE MOJA TU SO TUMEWALETEA STYLE TOFAUTI UTAKAZOWEZA KUSTYLE KWA SIKU SABA. SIKU YA KWANZA NI KUCHANA TU KAWAIDA UKISHAOSHA NA KUPAKA ...

121 Views

Jinsi ya Ku Accessorize Natural Hair

Wale wenye TWA Teeny Weeny Afro kuna njia nyingi za ku accessorize natural hair zako,sio lazima ziwe ndefu za kubana basi ndo uweze ku accessorize hata zikiwa fupi tu basi waweza tumia vibanio vile viko so cute kuweza kuzi accessorize. Vlogger ...