Nyumbani ::: Give Your Bedroom a  fresh new look with these 8 Bedroom Ideas
68 0

Am sure kila mtu anakuwa bored na muonekano wake wa nywele sometimes hata mavazi na kuamua kubadilisha ,hivyo hivyo huwezi kukaa na chumba cha kulala na muonekano huo huo mwaka mzima it’s always refreshing ukibadili muonekano si lazima kununua furnitures mpya hapana ,waweza badili hata tu the lay out au positions ya ulivyopanga vitu vyako.

Hongera Kwa Jacqueline Mengi kwa Kuzindua duka lake la Furnitures za Nyumbani la AMORETTE
139 0

Miss Tanzania 2000 Jacqueline Mengi jana alizindua duka lake la Furnitures za nyumbani lenye brand ya MOLOCAHO chini ya Amorette . Duka hilo liko sea cliff na litakuwa linauza furnitures za ndani kama makochi, viti, vitanda, meza na baadhi ya vitu vingine huku akitarajia kuongeza kwa kuuza furniture za jikoni kwa hapo baadae  “Amorette ni kampuni

Home Decor::Before and After Bedroom Decor Inspirations
70 0

i love home decor ,i hope you do too,sasa kuna so many videos za how to decorate your bedroom na hii ni moja that i liked nikona nishee na wewe . I know video ni ya majuu but am sure vitu kibao vinapatikana Bongo na waweza ku decorate room yako kwa inspirations from this video.

Welcome to the House of the Famous Shoe Designer Christian Louboutin Home!
103 0

We all love Christian Louboutin i mean he is the famous shoe designer ever Mzee wa unyayo mwekundu/Red sole/CL Mbali na kuwa a fashion shoe designer Louboutin loves pia a decorated home .This is one of his houses iko huko Paris home, located near the Opéra. In his house anaweka vitu vingi vinavyomkumbusha/remind him of the

4 Ways To Arrange Your  Bed Pillows with Middy
59 0

Hellow how is friday kicking???Hope you’re all well Are you a decor freak like me??OOhh well today naomba nilete kwenu jinsi basi ya ku arrange pillows zako,na hii ni kama you like pillows wengine wana zile tu za kulalia mbili basi ,sie wengine twapenda zijae kwa kitanda.Either way it’s okay unaweza by the time unamaliza

10 HOME DECOR INSPIRATIONS /IDEAS WITH MIDDY
66 0

So through instagram naona so many instagram pages for home decorations ,na zimekuwa my new obsessions nikaona niwaletee hizi tuwe tuna pata wote inspirations #KIZURI KULA NA WENZIO ,So itakuwa ni post ya kila mara nitakuwa nikipata some cute decor ideas napost humu from beds,kitchens,office decor you name it ,of course kama una anything ungependa