PATA MUONEKANO :::BIRTHDAY OUTFIT BY EVECOLLECTIONS
29 0

Birthday ya mwaka huu January 14 nilisherehekea Miami ,niko huku kwa fursa ya Oriflame,nipo kwa seminars mbalimbali na vacation flani hivi amazing follow me on insta kwa mambo yote. Nilipiga picha hizi kwa Miami streets kama Jadore vile. Kitenge jumpsuit::Evecollections  Belt nayo ilikuja na jumpsuit Pink pumps ::Indigoshoptanzania Bag ::i own Makeup by Me

41 0

Kwa wiki nzima tume mcelebrate Kisa kama desginer mwenye lebel yake ya kiki’fashion. Katika kufikisha miaka 5 kama desginer na nilivaa vivazi 5 toka kwakwe. Leo ni siku ya tano . Off shoulder kitenge top by kiki Levis jeans-fashoonista Shoes-indigo 

Celebrating 5 years of Kiki’s Fashion with Five Outfits :Day 3 & 4
49 0

Katika kucelebrate miaka mitano ya @kikisfashion ya @kikizimba . Wiki hii ntakuwa ndani ya vivazi vya #kikisfashion Bell sleeves Kitenge pencil dress by kiki’sfashion shoes ::indigo_shop_tanzania Africanprint Top by @kikisfashion#pinkmidheels by @tiktokfashion jeans by @theglamorousfashion uru muone @ley_jewellers

Celebrating 5 years of Kiki’s Fashion with Five Outfits :Day 2
53 0

DAY 2 Mixed African prints Jumpsuit by Kiki’sfashion Pumps :Shoeville

Celebrating 5 years of Kiki’s Fashion with Five Outfits :Day 1
63 0

Kikis fashion chini ya Kiki Zimba wanasherehekea miaka 5 tangu kuanzishwa kwake,hivyo basi Shamim Mwasha atakuwa anavaa vivazi vitano toka kwa Kiki. Day 1. Kiki’s fashion Kitenge top Ripped Skinny Jeans ::The Glamorous Fashion Brownwedges::WestendW1

PATA MUONEKANO:::PINSTRIPED JUMPSUIT
67 0

HAPPY NEW YEAR WADAU WA 8020 FASHIONS BLOG HAKIKA MWAKA WA 2016  TUNAMSHUKURU MUNGU ULIKUWA MWEMA ,TULIWEZA KUANZISHA YOUTUBE CHANNEL ZEZETV ,8020 FORUM UWANJA WA WANAWAKE KUONGEA,NA HATA BLOG YETU KUKUA NA KUWA NA POST PENDWA KAMA WALONOGA,MISHONO,PATA MUONEKANO ,WEDDINGS NK.  8020 FASHIONS KAMA BLOG IMEKUA SANA NA MATARAJIO YETU NI KUKU ZAIDI,NA KUKULETEENI BASI VITU