RAMADHAN 2018

Kumi la mwisho katika Mwezi wa Ramadhani

ALLAHUMMA INNAK ‘AFFUWWUN TUHIBBUL ‘AFWA FA’FU ‘ANNI O ALLAH You Are The One Who Pardons Greatly, And Loves To Pardon, So Pardon Me. AMEEN…

Read More

Dua ya wakati wa kufturu

Dua Ya Iftar “Ewe Mwenyezi Mungu! Mimi nimefunga kwa ajili yako, na nimefuturu kwa riziki yako, nakuamini wewe na ninakutegemea wewe tu”. Kwa jina…

Read More

RAMADAN 2018 ::: SWALA YA TARAWEHE

SWALA YA TARAWEHE Tarawee ni nini?   Swala ya Tarawee ni Swala ya jamaa ambayo Waislamu huswali ndani ya Mwezi wa Ramadhani. Neno ‘tarawee’…

Read More

FAIDA ZA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI KUMI LA KWANZA,PILI NA LA TATU

Hii article nashare na nyie nikijua itatusaidia wote kuhakikisha kwamba mwezi huu wa Ramadan tunatoka na faida nyingi zaidi ya Ramadan nyingine,Japo tuko kumi…

Read More

HIJAB TUTORIALS :: STYLE 16 ZA KUFUNGA HIJAB

As tunaendelea na mfungo tunakuletea more of Hijab tutorials za kufunga na wewe ubadilishe style yako,na insha Allah hata Ramadan ikiisha utaendelea kufunga hijab.

Read More

10 Tips za usimamizi wa Muda katika Ramadan

10 TIME MANAGEMENT TIPS FOR RAMADAN Haya Masha Allah tumshukuru mungu kwamba Ramadan tumeiona na leo ni Chungu cha kwanza.Tuseme Alhamdullilah kwa neema hii…

Read More

RAMADAN KAREEM

8020 Fashion Media Co.Ltd inawatakia wote Mfungo mwema wa mwezi mtukufu wa Ramadan .

Read More

COUNTING DAYS TO RAMADAN 2018 :MUFTI MENK

With Ramadan coming ,here is a Lecture kutoka kwa Mufti Menk ambaye anashauri mambo mengi ,kuhusu kufunga na kusali kwa ajili ya Allah ,usifanye…

Read More