Shosti talk

Utajuaje Kama Mahusiano Uliyonayo Yatadumu.

Dalili 8 zitakuonyesha kama upo kwenye mahusiano ya kudumu au hapana. Afya. Wote tunafikiria kuhusu hili. hasa kwa kadri tunavyoendelea kukua , tunatembelea madaktari,…

Read More

MAKOSA YA KAWAIDA 2 WATU HUYAFANYA KWENYE MAHUSIANO NA KUHARIBU MAISHA YAO.

Upo kwenye mahusiano na unataka iwe hivyo  kwa njia hio .Lakini baada ya ndoa , mambo yanaanza kwenda tofauti , na kabla hujafahamu ,…

Read More

JISAIDIE MWENYEWE , CHUKUA HATUA UNAPOONA MAPENZI YAMEKWISHA

Mbinu za kukusaidia unapotengana na mtu au unapotaka kutengeneza upya mapenzi yenu. Mnapokutana na mtu na mnapendana, wote mnaona kama mmegusa nyota moja, kwa…

Read More

Kwa Nini Unaendelea Kuvutia Mwanaume, Mwanamke Tofauti Na Mahitaji Yako.

Unaweza ukawa unafanya kila kitu kizuri , unatumia mbinu zote ili kumpata mtu sahihi ambaye umekuwa ukifikiria, ukiota kila siku lakini usimpate  Sio kosa…

Read More

Hii Ndio Sababu Inawafanya Baadhi Ya Watu Kuendelea Kushirikiana Na Exes Wao

Bado umeshikilia mahusiano na mtu ulieachana? Sababu inaweza kuwa inatokana na tabia na hisia za kipekee za mmoja wapo. Hutapata urahisi wa kupata mapenzi…

Read More

SABABU ZA KAWAIDA KABISA AMBAZO ZINAHARIBU MAHUSIANO

Na utafanyaje Kurekebisha Haya. Mahusiano sio jiwe kama watu walivyo sio mawe. Tunabadilika kila mara.Tunawezaje kushughulikia mabadiliko haya , ingawa tuna uwezo wa kutosha…

Read More

Shosti Talk: Category Mpya Ndani Ya ZezeTv.

Mmekua mkisoma tu madatofauti kuhusiana na mahusiano ndani ya shosti talk na wengine tunaendelea kujadili zaidi ndani ya 8020forums. Sasa ZezeTv imewaletea category mpya…

Read More

Shosti Talk Mambo ya Ndoa /Marriage issues

kuna shosti talk kwa Zezetv it’s super hilarious jamani ,i love it

Read More

Mambo 5 Usifanye Unapokua Unadate Online By Lizz David.

Watu wengi wanakuwa woga wanapokuwa wanadate online, na wengine wanakuwa sio wa kweli . kwa sababu hio  nakuletea mambo matano ambayo ni muhimu kuzingatia…

Read More

Je, Unaweza Kubadili Dini Kwa Ajili Ya Mpenzi Wako?

Tumeshaona na kusikia wanawake wengi sana wanabadili dini kwa ajili ya wapenzi wao, na kwa upande wa wanaume ni wachache sana. Wewe he, utabadilisha…

Read More

Mwanaume Kwenye Ndoa Na Wanawake Wawili.

Adam Lyons, 36, anaishi na wanna wake wawili. MmojA Brooke aliyezaa nae mtoto was kiume na mwingine Jane ambaye ana mimba yake ya miezi…

Read More

Unaweza Kufuta Social Media Zako Zote Kuokoa Mahusiano Yako?

Mwenza wako uliyenaye kwa sasa. Je, utakubali kufuta mitandao yako yote ya kijamii ili kuokoa mahusiano yenu?  Kuanzia whatsapp, Instagram, Facebook, Twitter, snapchat na…

Read More

Are You Dating For Marriage?/Upo Kwenye Mahusiano Kwa Ajili Ya Ndoa?

Wadada/Mabinti kama bado hujaolewa then hii mada inakuhusu wewe. Wote tunafahamu kuwa kuna kipindi kinafika mwanamke unaingia kwenye mahusiano kwa lengo la kuolewa, na…

Read More

Kwanini Mpenzi Wako Anakudanganya?

Uchunguzi unaoshangaza  juu ya udanganyifu kwenye mahusiano Steven alikuwa ni msimamizi wa stoo kubwa , mahali ambapo  mizigo ilikuwa inawekwa. Alikuwa ni mtu anayependa…

Read More

Uongo Uliopo Kwa Watu Single Kuhusu Mapenzi Baada Ya Miaka 40.

Single na kuchoka kuhusu hicho? Unafanyaje ili kubadilisha hii tabia . Kama wewe ni mwanamke single mwenye miaka 40, unayo historia yako tayari ,…

Read More

VITENDO VIDOGO 7 AMBAVYO VITARUDISHA MAHUSIANO YAKO KWENYE HALI YA HONEYMOON.

Kutokana na super busy lifestyles yetu,  Inabidi kutafuta zaidi mbinu za kuonyesha  wenza wetu kwamba tunawajali. Haihitaji mbinu kubwa kubwa sana  au za siku…

Read More

Nini Cha Kusema Na Kutosema Ukiachana Na Mwenza Wako.

Nia yako  ya kusaidia  mtu fulani  ambaye anapata shida  kwa sababu ya breakup inaweza kuwa ni nzuri , lakini  the wrong responce inaweza kuleta…

Read More

USHAURI BORA KWA WANANDOA KWA AJILI YA KUDUMISHA MAHUSIANO.

Wote tunafahamu kuwa wanandoa wanahitaji  ushauri  mapema  pale tu wanapoingia kwenye ndoa kabla ya  kitu chochote. Kuongezeka kwa ndoa zinazoshindwa  na familia  kushindwa kujenga…

Read More

UKWELI KUHUSU JINSI MWANAUME ANAVYOCHAGUA MWANAMKE WA KUOA

Unaweza kuwa  ni mzuri kitandani, na ni mrembo sana, na tunaweza kuwa tunalala pamoja kila siku, na tunaweza kuwa tunakukumbuka kila mara . Hata…

Read More

MASWALI 10 KAMWE HUPASWI KUMUULIZA MWENZA WAKO

Makala nyingi   zinazungumzia  kitu gani  kizuri cha kumwambia mpenzi wako , na watu wengi wanaepuka  kitu kisichofaa kumwambia mpenzi wake. Ingawa hizi zote…

Read More

Wanaume Hawajali Utawasubirisha Kwa Muda Gani With Steve Harvey.

As most of you may know Steve Harvey has some of the best relationship advice kwa wanawake, anakupa ukweli hata kamu unauma. So this…

Read More