Dimaond Platnumz na Zari  kurasa za mbele za jarida la Mamas and Papas la S.A waki Share their Love Journey
27 0

We saw their photo shoot moths ago kabla hata Zari hajajifungua mwanae Nillan. Na hii ndo ilikuwa post kama ulipitwa kuhusu Maternity photo shoot  So kipindi kile walifanya hii sababu walikuwa watokee kwenye cover ya Mamas and Papas Magazine ya huko S.A na wametoa cover hiyo japo bado hawajasema kama tayari lipo mtaani ila am

Kim and Khloe Kardashian are loving Yeezy x Adidas ‘Calabasas’ Track Pants
31 0

What can you do when you have a designer in the family ???rock the pieces and you get them for free how awesome,the sport chic ni trend kubwa sana for 2017,and the Kardashian are here for trends too. Kim wore the calabasas track pants kama her airport style akienda Dubai while Khloe wore for her

Obama Very Touching Farewell Speech
39 0

Obama amemaliza ngwe mbili za uongozi wake,miaka 8 akiwa Raisi wa taifa kubwa la Marekani,amekuwa ni raisi wa 44 na alipendwa ,na kuheshimiwa sana,kama wanavyomuita kuwa ni moja wa the coolest President of all time .Alirudi Chicago kuwaaga wananchi na akiwa ameongelea mambo mengi sana. It’s good to be home. My fellow Americans, Michelle and

Is Caitlyn Jenner following Kim Kardashians foot step and going  for a Nude photo shoot???
39 0

Kumekuwa na reports za hivi karibuni that former Athlete turned reality tv star Caitlyn Jenner formerly known as Bruce Jenner ana mpango wa kufata nyayo za mwane wa kufikia Kim Kardashian alipofanya photo shoot ya paper Magazine akiwa naked. According to reports Caitlyn anataka kufanya hivyo sababu hajapata media attention kwa mwaka uloisha wa 2016,na

Best Dressed Celebrities at the 74th Annual Golden Globe Awards
41 0

Golden Globes Awards ,mwaka huu ikiwa wanasherehekea the 74th GGA,Celebrities wengi wameanza mwaka vizuri,wacheche wakiwa bado hawajajipatia ,but let’s celebrate them,na sisi tujifunze yale mazuri,hapa pia ndo trends za mwaka 2017 tutaziona kwa wingi,kuanzia nywele,make up,dresses,shoes etc. Chrissy Teigen in  Marchesa lace peplum gown Sofia Vergara in Zuhair Murad design. Priyanka Chopra is shining on

Elizabeth Michael’s 2017 Face Though
65 0

Lulu is rocking short hair again but this time with more confidense ,though hatujui lini she will go back to weaves and wigs . In her new picturea she is  just too cute and i think she knows it . Her face is like anatuambia mwaka jana nili slay mwaka huu ntawaacha midomo wazi even