THROWBACK THURSDAY :::NJIA ZA ASILI ZA KUSAIDIA MAZIWA YASIANGUKE
260 4

HERE IS ONE BIG THROWBACK THURSDAY MOJA YA POST PENDWA SANA,KAMA HUKUISOMA SOMA SASA ITAKUSAIDIA,KUNA MDAU HADI ALITUTAFUTA INSTAGRAM KUULIZIA HII POST . Ilipostiwa Nov 25 2015 Common issue kwa wanawake wengi ambayo wengi inabidi ku cope nayo especially tunapokuwa watu wazima ni MAZIWA KUANGUKA .Ni kwamba maziwa yanapoteza ile elasticity yake tena na utu

Bongo Urembo : Sababu 8 Nywele Zako Zimeacha Kukua / 8 Reasons Your Hair Stopped Growing.
89 0

Hello Loves, kwa wale ambao tumeweka dawa the reasons are obvious, dawa inakata nywele. Hata ukizitunza vizuri kivipi there is a point ambapo zitakuwa zimeharibika kabisa. So to all my natural sisters, mnajua kwanini nywele zenu zinaacha kukua, Natural hair ni kazi sana kuzitunza and with the right care nywele zako natural zinaweza kuwa ndefu

Instant Wrinkle Reducer
85 0

Instant Wrinkle Reducer – Review Botox in a bottle? We’ve heard that one about a million times. Everyone wants a piece of the anti-aging demographic that thinks it can get rid of wrinkles fast, yet without that whole can of worms of actually getting Botox injections. If we sound jaded, it’s because we’ve seen this

BONGO UZURI : JINSI YA KUTENGENEZA GINGER OIL NA FAIDA YAKE KWA AFYA PART 1.
122 0

Ginger / Tangawizi inafaida nyingi sana ambazo tayari tunazifahamu. Lakini mnafahamu kuwa Kuna mafuta ya tangawizi  (ginger oil). Na mafia hay tana faida nyingi sana..The best thing Ni kuwa unaweza kutengeneza mwenyewe, lakini kama unaona uvivu unaweza kuyapata katika maduka yanayouza herbal oils. JINSI YA KUTENGENEZA MAFUTA YA TANGAWIZI / GINGER OIL. Unahitaji vitu vifuatavyo:: Tangawizi

TIPS ON HOW TO LOOK GOOD WITHOUT MAKEUP/ FANYA HIVI ILI USO WAKO UPENDEZE BILA MAKEUP
109 0

Some days mtu unataka kuwa makeup free laini lakini ukifikiria kuwa hutopendeza Bila makeup ndio tatizo. Unaweza kupata ngozi nzuri na laini na ukapendeza hata Bila makeup. Fata tips hizi zifuatazo:: 1.Tumia Tinted moisturizer with SPF. Badala ya kutumia foundation, tumia a tinted moisturizer with enough spf. Hii italinda ngozi yako na Kui hydrate na

How to get clear skin at home with these simple ingredients #01
156 3

Kila mwanamke anataka picture perfect, flawless skin ,clean and beautiful skin ni moja ya element kubwa sana kwenye urembo wa mtu ,ukiwa na ngozi nzuri basi  hata uta feel vizuri zaidi. Ngozi inaweza kuharibika kwa sababu ya vitu vingi kama stress,kukosa usingizi  , poor nutrition, pollution, mionzi ya jua nayo ni hatari kwa ngozi zetu (damage