WALONOGA WIKI HII
55 0

Hello there karibu kwenye  Walonoga ikiwa ni wiki ya tatu ya Januari 2017. the bride is just too beautiful ,i wish to see the gown mbele na nyuma,Bi harusi kama utapenda ku share ni email mwanaidinuhu@gmail.com Hongera kwa Miss Universe Tanzania 2012  as the new face of Nigerian brand @thejreasonbrand One Night In Africa ss

WALONOGA WIKI HII
97 0

1st Walonoga for 2017 Heri ya mwaka mpya wadau wa walonoga japo naambiwa mwaka ushakomaa tayari lol Lulu is on fire kama kawaida ,sasa utafanya tukose caption love your sequined one shoulder dress Mwamvita Makamba is an African woman in this beautiful ensemble Jokate baby girl your a fine woman no homo Swalha Msabaha doing

WALONOGA WIKI HII
252 0

Good Morning Am sure wengi msha anza kuondoka mujini na wengine wakifanya maandalizi ya kwenda mkoani for christmas ,Wachaga ndo wana kick kwa sasa maana issue ya kuhesabiwa kwao sio ya sport. Mnaosafiri safari njema. Adeline lookeed stunning in eve collection dress love the florals details the yellow number had a long train and ilimfit

WALONOGA WIKI HII
232 0

Good Morning Imekuwa a loooooong weekend kwakweli Mbali na wimbo wa darasa kupewa jina la wimbo wa Taifa ukizidi kupendwa na kujizolea umaarufu kila siku,weekend hii kilicho kiki nacho ni tuzo za EATV AWARDS 2016 ,tuzo hizi ni kwa mara ya kwanza kufanyika na zilionekana kufurahiwa. Let’s get to those Walonoga sana. Elizabeth Michael killed

Walonoga Wiki Hii
305 0

Good Morning News kubwa bongo wiki iliyopita ilikuwa SWAHILI FASHION WEEK ,will come on everything that went down kwa SFW 2016 Stay tuned. Now on Walonoga Our star leo ni Rebeca Gyumi ,ambaye amekuwa featured kwenye New African Magazine as mmoja wa 2016 Woman of the year. Mwaka umekuwa mzuri kwa Rebeca zaidi ya kushinda

Walonoga Wiki Hii
336 0

Its Monday Karibuni kwenye Walonoga Weekend hii ndo kulikuwa na zile tuzo za Insta Awards,nafikiri ni bonge ya idea maana insta imekuwa platform kubwa sana kwa wengi ,ni rahisi kufikia watu wengi kwa wakati mmoja so kwa wale wanaoitumia vizuri basi wanafaidika kama hapa 8020 mwaka jana tulipofanya ile ya wajasairiamali wanawake wanaotumia mitandao Positively