Posts Categorized:

Wedding

8020 Fashions Blog
JOAN & MAGONO
December 17th, 2014
  BRIDE :: JOAN GROOM ::MAGONO COLOUR ::BLUE & RED         HII NI KWENYE KUFUNG NDOA, SI BIHARUSI TU, HADI BRIDESMAID WALIBADILI NGUO ….CHEZEA DIRECTOR WEYEEE  
8020 Fashions Blog
ELINA ESAKWISA’S NIGHT
December 16th, 2014
BRIDE ::ELINA EVENT ::SENDOFF MAKE UP ::GLAMBOX COLOUR ::WHITE & BABY PINK DRESSED BY ::EVE’S COLLECTION WANAPATIKANA ::EAST 24 ZAMANI ARCADE HOUSE PEMBENI YA KFC WASILIANA NAO ::+255 757 370 543
8020 Fashions Blog
KIDEO::MUTALE WEDDING EXIT
December 4th, 2014
MUTALE NKONE NI BRIDE WA KIZAMBIA ALIYEFANYA WAGENI WASICHOKE PALE ALIPOAGA UKUMBINI NA SWAGA ZA KUTOSHA,MAANA TUMEZOEA MAHARUSI KUPUNGA MIKONO>>>>
8020 Fashions Blog
Blessing & Igho Traditional Wedding
December 2nd, 2014
    MKIMBIZA UPEPO WA NIGERIA(OLMPIKI) BLESSING AKIWA NA MUME MCHEZA MPIRA IGHO NDIO MWANAMKE MWENYE KASI KULIKO WOTE DUNIANI JIUGONJWA
8020 Fashions Blog
ESTHER SEND OFF
December 1st, 2014
  BRIDE::ESTHER  COLOUR ::RED AND MINT ‘TIFFANY BLUE’ DESIGNER ::EVE COLLECTIONS ‘BEST IN TOWN’ WANAPATIKANA ::EAST 24 ZAMANI ARCADE HOUSE PEMBENI YA KFC WASILIANA NAO ::+255 757 370 543 E-MAIL::evecollections@gmail.com PICTURES
8020 Fashions Blog
IRADAT & ABDUL WEDDING
November 24th, 2014
    LONG VEIN GROOM AND BESTMAN EGG YOLK COLOUR AND BLACK LACE MAIDS JIUGONJWA ## YUMMY yummy DECOR SWAGAA GARI MPKA UKUMBINI PSPS    
8020 Fashions Blog
HOTTEST WEDDING DANCE
November 20th, 2014
HAPA UTAONA JINSI MAHARUSI WALIVYOJIPANGA NA KUENJOY NA WAGENI WAALIKWA >>>>PATA DANCE
8020 Fashions Blog
celebs
PICHA ZA HARUSI YA SOLANGE KNOWLES/MDOGO WA BEYONCE
November 18th, 2014
YES SOLANGE KAOLEWA NA MUSIC DIRECTOR AITWAE ALEN FEEGUSON HUKO NEW ORLEANS,BIBI HARUSI ALITINGA VIVAZI VITATU MIE USAFIRI WAO UMENIBAMBA NI MWENDO WA BASKELI TU. SOLANGE KAOLEWA NA NATURAL HAIR ZAKE
8020 Fashions Blog
Nigerian wedding
SOFIA & JOSEPH WEDDING
November 17th, 2014
NGOJA AGEUKE>>>> LONG VEIN# SWAGAA MAIDS SWAGAA DECOR SWEET CORNER  JIUGONJWA PSPS LETT’S DANCE
8020 Fashions Blog
NEW ARRIVALS @WEDDING BELLS
November 14th, 2014
  Mzigo mpya wa magauni ya harusi na vikolombwezo vyake vimeshuka katika duka letu la Wedding Bells. Kama kawaida tunazo kila aina ya nguo. Hapa tumepiga chache kukupa vionjo vya
8020 Fashions Blog
MY WEDDING/HARUSI YANGU
November 12th, 2014
Kila mwanamke huwa anaiwaza harusi yake na kufikiria nini  anataka kiweje na vipi anataka iwe,(hata akiwa  hana hata mchumba) nimeanzisha hii post ya MY WEDDING/HARUSI YANGU kwa yeyote awazaye harusi yake VP
8020 Fashions Blog
KIDEO::CHRIS & RON WEDDING DANCE
November 11th, 2014
HAPA UNAKUTANA NA WAKENYA,MARA NYING HARUSI UFANYIA NJE KWENYE BUSTA ILA WANACHOFANYA KATIKA DANCE MMOJA ANAONGOZA MBELE KWA SEC KADHAA NA MWINGINE KUENDELEA,GROOM NDIO ALIYEVAA BLUE NA KAKI PEMBENI YA