ZEZETv

My Favorites December – January 2018

January to December Favorite Nimedebut new hair style na mambo mengine mengi ,vitu vingi ni kutoka @fashoonistahome @fashiondesirestore @mgece__cici__designs @bonuzi @khadijamwanamboka @theglamorousfashion¬†. #Subscribe #like…

Read More

ZEZETV SHOSTI TALK – WANAUME WAVIVU MNAKERA

mashost eeee leo tuongelee hawa Display ….wanaojiita wanaume, wanasema wanaume Mashine eeee kwa kufanya kazi bibi weeee. mwanaume Kaziiiiiii

Read More

ZezeTv ::Tips za Jinsi gani nili loose Kg 15 Za Baby Fat Kwa Miezi 5.

Leo kwa ZezeTv na share nanyi Tips mbalimbali za Mazoezi,Chakula na vitabu nilivyosoma vikanisaidia ku loose kg 15 kwa Miezi Mitani baada ya Kujifungua.

Read More

Nancy Sumari on her Style,Tanzania’s Fashion Industry and her natural hair

I had the pleasure to do some chit chat with Nancy Sumari siku ya event ya Swalha Msabaha ile style and beauty workshop. Nilimuuliza…

Read More

Zezetv :: All the deails on Ritha Ora’s Bathrobe look on red carpet

She knows how to make a fresh entrance . Kashavaa miburuzo yote,miwaka waka ,suti kachoka akaona atoke kitofauti na hii bathrone yake na taulo…

Read More

Prince Dee’s Party by ZEZE TV Part 1

Hii ilikua Party ya Prince Dee of course Hamisa Mobetto alisimamia show Video ilileta shida kidogo so tumeipandisha tena enjoy   You might also…

Read More

Zezetv ::: Modern Traditional African Wedding By Middy

Hii ni harusi ya designer wa kutoka South Africa famously known as Rich Factory ,for her wedding aliamua ku go with a traditional African…

Read More

Nasreen Karim – Mrembo Anayesaidia Wakina Mama wa Kimasai Kibiashara

Love her Batiki mixed prints from bijoux trendy Miss Tanzania 2008 Nasreem Kareem ,kwa sasa ni mjasiriamali she has amazing jewelries za Kimasai zenye…

Read More

ZezeTv ::: Miss Nargis Mohamed – Business Woman

ZEZEtv Tulipata nafasi ya kuongea na Nargis Mohamed mmoja wa walimbwende waliotikisa enzi izo alikuwa na maneno kadhaa ya kuongea juu ya Tasnia ….msikilize…

Read More

ZEZETV ::: MAMBO YA VIBUBU ,UPATU, VIKOBA NA BANK

YES nimeshare jinsi mimi ninavyosave /tunza /changa /hifadhi pesa zangu ambapo nimeshare ambapo nimeelezea jinsi navyotumia vibubu ,vikoba,upatu.

Read More

Zezetv :: My August Favorites and August + Giveaways Bonge ya Giveaways ya Rayban glasses,makeup voucher n.k

YEESSS ni mwezi mwengine tena na tu AUGUST FAVORITES mwezi huu nilikuwa na vitu tofauti na ntawasaidia kwa kuwawekea link za sehemu zinapatikana ili…

Read More

Zezetv : Shost talk on Why Comment I am “INSPIRED” “You Inspire Me

Kwa wale wote wanakua inspired na mtu fulani au watu fulani ,kua inspired ili uweze kua the best version of yourself ,na wanao ku…

Read More

Zezetv : My June Favorites

Nimeshare nanyi vitu vyangu navyomiliki nazotumia mwezi ,vikiwepo Fashions /beauty and lifestyle stuffs

Read More

Zezetv ::Kwanini Wanawake Hatutongozi Wenyewe Tunapompenda Mwanaume

YES nasi pia si tuna macho yanaona, moyo watamani , kwanini twasita, tatizo nini ? ni uafrika wetu ? malezi?mazingira nawachokoza eeeee? have you…

Read More

Zeze Tv:: My Experience in Miami #enroutetomiami

Leo naomba ku share Video yangu ya My Experience in Miami ,niliwezeshwa na Oriflame kwenda na kurudi nikiwa na Jessica ambaye ni Diamond Director…

Read More

ZEZETV::: HIVI NDIVYO NINAWEKA RANGI KWENYE NATURAL HAIR ZANGU

Hii ni highly most requested videos of all times,nakuonyesha jinsi gani huwa naweka rangi kwenye my natural hair ,nitakuwa na my hair stylist wa…

Read More

ZezeTv :: Vichuna Step Challenge

#vichunadistancechallenge is going Strong ?? ndo message inayotumwa kila mara na #mapmywalk -so wanahangaika kuvunja record ya kutembea kilometer 34 ilowekwa na @theglamorousfashion ….

Read More

ZEZETV:5TH ANNIVERSARY OF KIKI’S FASHION

Kisa amefikisha miaka 5 tangu awe designer na kusherehekea miaka 5 hiyo tulifanya nae interview kuhusu safari yake nzima ya mitindo na ubunifu ,na…

Read More

ZezeTv::Tupo Deals Pata Discount Kwenye Bidhaa Mbali mbali

8020fashions#kizuriKulanaWenzio#KKW leo nimewaletea live kwa#zezetv… yes kama wewe ni mfanyabiashara na una discount ya kungu katika bidhaa na huduma zako wasiliana na www.tupo.co.tz ….

Read More

ZezeTv ::What’s in My Bag

Kuna anew Video on Zeze Tv and its all about what’s in my bag nashare humo vitu kibao ambavyo mara nyingi lazima niwe navyo…

Read More

ZezeTv ::Daily Skin Care Routine

Nimeshare nanyi product yangu ya uso nayotumia novage ecollagen , bidhaa ambayo ni mahsusi kwa ngozi ya mtu wa miaka 35+ ambayo hutoa makunyazi…

Read More