CLOSET IDEAS

HAYA NAWALETEA CLOSET IDEAS LEO KAMA NLOLETA KATI KATI YA WIKIILA LEO ZIMEONGEZEKA.HAMNA KITU KINABOA KAM KUKUNJA NGUO WAWEKA KWA MABEGI SASA ISSUE INAKUJA KUTAFUTA UNAHARAKA MARA ZINAANGUKA HURUDISHII TENA MWISHO WA SIKU UNABAKI UNAZIBWAGA HAPO BASI VURUGU TU.ILA CLOSET BANA INASAIDIA AS

1.NGUO UNAZIONA KWA URAHISI KUPATA NGUO NI FASTA TU.

2.CHUMBA KINAKUWA KINAJIPANGA VIZURI VITU VINAKUWA IN OREDER SIO MSURURU WA MABEGI NA MASHANGAZI KAJA.

3.SIO RAHISI KUSAHAU NGUP ZAKO MAANA KWA BEGI UNAVAA ZA JUU JUU TU SASA UNA MABEGI SITA NGUO ZINGINE SIO RAHISI KUKUMBUKA ILA CLOSET ZINAKUWA ZINAONEKANA VIZURI.

GYGYKAMA HII NI SIMPLE TU ZINGINE KAKUNJA ZINGINE KATUNDUKIA HIZI CHEKECHEKE WAWEZA PATA SUPERMARKETS HATA KUNA VILE VIKAPU VIZURI TU WAWEZA HIFADHI MASHUK,FORONYA AU MAPAZIA.HGYG78ONA HAPA KAPANGA NGUO KWA COLORS INAKURAHISISHIA UKITAKA MECHISHA UNAPATA NGUO KWA URAHISI.HGYG897U9WANAUME HAMNA COMPLICATION HUU AONEKANA NI SHOE ADDICTYGYG8787 YGYGTY7THIS IS MY FAV KWANZA JUU NAKSHI YA KOFIA KAMA KOFIA HUNA BASI WEKA HANDBAGS ZAKO.YGYGT8 HGUGY7U HGV GVGFVGHHII NAYO NI SIMPLE INAWAFAA MABACHELOR AMBAO WAMEPANGA ZAO ROO MBILI AU MOJA UNAKUWA NA KABATI SIMOLE ILA UNALISECTION VIZURI KWA AILI NDANI MAANA HAPA SEHEM YA VIATU IPO HANDBAGS JUU THEN KATUNDIKA ILA KAMA NI DOGO SANA VIATU WEKA TU KWA SHOE RAK YAKO SAFI.

CREDIT:WHOWHATWORE

USISAHAU KUNIFOLLOW INSTAGRAM @8020FASHIONS ILI UWEZE PATA UPDATE SAMBAMBA NA KUDISCUSS HAPO KWA PAPO YANAYOJIRI DUNIANI NAPIA HAPO JUU KULIA WEKA EMAIL YAKO ILI UJISAJILI TUWE TUNAKUTUMIA YANAYOJIRI BLOGUNI HATA KAMA HUJAFUNGUA BLOG, BILA KUSAHAU PERUZI BLOG KUPITIA SIMU YAKO

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.