Congratulations are in order ,Happy 10th anniversary dada kubwa na Shemela Jose Mara

So dada kubwa Monfinance na shemeji Jose Mara wamefikisha 10 yrs of marriage kwakweli sio mchezo.

Tunawapongeza sana ,ni couple kama yenu inayotufanya tuendelee kuamini kwenye ndoa na mapenzi ya kweli,Mnatu inspire 

Ten down forever to go

Cake by my girl Namaimara

A very simple decor for dinner

Dinner is served

Cheers

Congratulations guys ,miaka 10 sio mchezo

 

Boys walivaa denim on denim

Dada kubwa alivaa an off shoulder floral dress and graced us with Valentino studded pumps

Related Posts

Leave a Reply