Cook with Kile :: Weekend Snacks Rice Crackers

Rice Crackers. Hizi zatengenezwa na unga wa mchele… Kuna namna mbali mbali waweza  kuzispice. |
|
MAHITAJI
Unga wa mchele, Ufuta, chumvi, black pepper, cayenne etc depends na vile upendavyo. Lakini pia mafuta ya kula na maji kwa kukandia. |
|
KUPIKA
Unakanda unakuwa mgumu lakini mlaini.
Katika kusukuma upate vichapati , unatengeneza ball type… Vidogo dogo kisha waweka katikati ya plastic na kusukuma…. Kisha wabandua kwa mahaba na kuweka kwenye mafuta yalopata mto ila sio mkali sana.
#cookwithkile #ricecakes #rice #frying #life #cooking
Note: Nimenunua unga wa mchele kwa @roiproducts

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.