Couple Hii inapenda African Culture na Hivi ndivyo walivyofanya kwenye haursi yao

Nowdays na mambo ya kizungu ni couples chache sana ambazo watafanya hii ,i mean kuweka mambo ya u Africa zaidi kwenye wedding reception zao na hata mavazi.

But Rina na mumewe wanapenda sana African Culture tena especially vitenge since Rich Factory ni designer mkubwa tu huko South Africa.

I loved the decor and their outfits.

the Bride Rina

how amazing is her crown????

the dress is just Waooooow

the grooms outfit

Decor

modern and traditional in one 

the cake 

wa kucheza bao kulikuwa na african games 

the over view ya reception area 

leo hii mwendo wa buffet tu,love this style

walking down to the isle 

such a beautiful couple

high table ilikua amazing 

guests

guest walivaa in african prints wengi wao

selfies 

her second dress

and third

To see more pics cheki #kutamafest 

 

 

 

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.