THROWBACK THURSDAY TO CYNTHIA AND RICHARD RECEPTION

 LEO TUNA THROWBACK THURSDAY TO HII HARUSI ILOKIKI SANA MUJINI YA CYNTHIA AND RICHARD
BRIDE::CYNTHIA MASASI
GROOM:: RICHARD MZIRAY
VENUE :: SERENA HOTEL
COLOR :: PINK
MC ::GADNA G HABASH
DJ:: BON LUV
KUONA PICHA ZA CHURCH WEDDING ZAMA  HUMU
BRIDES MAIDS AND GROOMSMEN

                              Kinywaji mlipuko kilifunguliwa na marafiki wa karibu

KUONA JIUGONGWAAA……WATU WALIVYOJIAACHIA….RED CARPET NA MENGI MENGINEYO ,DUMBUKIA HAPO CHINI

                                       BON LUV ALIWARUSHAAAAJEEE?!!

JIUGONJWA
MZIKI ULIFUNGULIWA HIVI

DECOR
zulia lilitulia nilishindwa mwenyewe kila angle nilikuwa najiachia akijidai analikimbia red carpet namkatizia denge

ni serena ukumbi mpya….naona Mr & Mrs Mziray wamefanikiwa kuubikiri rahaaje?!!

REDCARPET
 

hahahhaha MC alivunja kabati …tetec zinasema baada ya bwana harus anayefuatia kwa kuvunja kabati ni yeye 😉
shost kimekuchomoza…..
 MADINI
NILIKOGUSWAA
YES!!! NDIO MRS MZIRAY HUYO ALIENDA BADILI KIVAZI….MAMBO HAYA YAFANYIKA SAANA NA MAHARUSI WA MBELEEEE….naambiwa hata Madonna, khloe alitinga hivi siku ya harusi yake…..nigoogie

sorry ni picha za simu ila mnapata picha……FOR  PICHA ZA UHAKIKA ZA KITAALUM NA ZENYE NAKSHI TUSUBIRI

I VIEW MEDIA

Related Posts

4 Comments

  1. hongera Mrs mziray harusi bomba bongo nzima, wanawake sio lazima uolewe na mzungu ndio ujirushe haya kaolewa na mpare harusi mpaka kwa helikopta mhhh hongera mama max mbarikiwe sana

Leave a Reply