DADAZ :: Ni kweli mwanaume mwenye sura isiyovutia huwa mwaminifu kwenye mapenzi.

Am sure hii kila mtu aliiona video ya yule mchekeshaji wa Kenya wadada tuachane na wanaume handsome sababu kila mtu anamtaka tuwe na personal person mwenye sura pekee kha cameraman si akamuonyesha baba mmoja ili trend sana.

Related Posts

1 Comment

  1. Wacheni uwongo na kujidanganya….hivi hamumuoni Diamond na uhuni wake ama Ruge anavyochezea mademu wasiojitambua pale Clouds?

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.