Diamond Platnumz Apishana na Kanye West, Hakeem wa Empire na Ne Yo

Diamond yuko majuu huko alikuwa na show and may be anajaribu fanya nyimbo coz kuna picha kapost insta kama wako studio hivi na Neyo Yuko.Tunawapenda hawa celebrities alipishana nao Daimond 12725006_1566980493592618_1953883189_n

Hapa Diamond alipata selfie na Hakeem Lyon wa Empire but jina lake kamili ni Bryshere Yazz Gray
12798079_1035115569887471_1158281423_n

Another selfie na Mzee wa kutokucheka hovyo Mbishi Kanye West.

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.