DIAMOND, VANESSA MDEE, ALIKIBA, NANDY NA LADY JAYDEE WATAJWA KUWANIA TUZO ZA AFRIMA 2017

Tuzo za Afrima zimetangaza majina ya kwanza ya wasanii watakaowania mwaka huu. Imeanza kwa kuyaweka wazi majina ya kanda mbalimbali. Wasanii waliotajwa kutoka Tanzania ni pamoja na Diamond, Vanessa Mdee, Alikiba, Nandy na Lady Jaydee watajwa kuwania tuzo za Afrima 2017.

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.