Dress Your Baby Girl In These 10 Trends

Every mother wants the best for their Kids ,let’s talk baby girls leo,there is something about dressing up our baby girls its fun and cute,Kuna these 10 trends ambazo you can totally dress your little fashionista in them na akabaki kuonekana mtoto maaana kuna ile unamvisha mtoto anaonekana kama mtu mzima ain’t cool let kids be kids .Kids fashion (3)1.Gingham

Yes now gingham prints ndo habari ya dunia Kids fashion (4)

2.Clear glasses

hata kama ni mtoto kuna sunnies special for them kama hizi zinazotrend kwa sasaKids fashion (5)

3.Lace Up sandals

Dress your baby girl in cute little short and a top paired with lace up sandals kids fashion

4.Fedora Hats

Hats can help your baby najua na pia ni swag

Kids fashion (2)

5.Shirt dresses

siku hizi ndo trend kuvaa flats au sneakers na shirt dressesKids fashion (8)

6.Crop top

crop tops paired with a maxi skirt kwa mtoto mtaftie inayomtosha sio tena ya kumuonyesha tumbo

Kids fashion (7)

7,Sheer maxi dress

Hii ni floral na sheer but sheer nayo ipo kwa chat sana sasa hiviKids fashion (6)

8.Long coats

iwe duster coats au kimonos zote zafaaKids fashion (1)

9.70’s vibe

ndani ya suruali za bwanga chini na tops Kids fashion (9)

10.Sneakers

you can wear a lot of things na sneakers ,watu hadi siku za ndoa zao kuna wanaovaa sneakers ,zinaenda na vitu vingi sana on weekend choose sneakers over other flats.

Photo credits::fashionkids

Related Posts

1 Comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.