DStv Ni Motoo

Hukukwetu mambo niMotoooo!

Zikiwa zimesalia siku 3 tu kuelekea katika mashindano ya FIFA Kombe La Dunia 2018 nchini Urussi. DStv watakuwezesha wewe mteja wao kufurahia mechi zote 64 za michuano yaFIFA Kombela Dunia 2018 LIVE zikiwa kwenye picha ang’avu HD kupitia chaneli zake mpaka 6 maalum zilizo andaliwa kwa ajili ya  mchuanohii. Wateja wote wa DStv watafurahia mashindano haya kuanzia kifurushi Bomba kwash.19, 000 tu!

DStv pia imekuandalia matangazo ya moja kwa moja ya FIFA Kombe la Dunia 2018 kwa Lugha ya Kiswahili utakaoletwa kwenu na timu yetu mahiri ya wachambuzi Nguliwa soka kutoka hapa nchini akiwamo Oscar Oscar, MaulidKitenge, AboubakarLiongo, Ibrahim Maestro, EdokuMwembe, bilakumsahauEphraim Kibonde watakao kuletea matangazo haya LIVE kutoka Russia.

Kwa kuongezea, DStv imekuleta ofa maalum kwa wateja wake wapya, Sasa wataweza kujiunga na DStv kwashilingi 79,000 tunakupata seti ya DStv pamoja na kifurushi cha miezi miwili bure kitakacho kuwezesha kushuhudia mashindano ya Kombe la Dunia LIVE mechizote 64 kupitia chaneli za supersport .

Mbali na ofa hiyo na kutangazwa kwa michuano hiyo kwa lugha ya Kiswahili, DStv inataka kuhakikisha kuwa wateja wanaweza kutazama DStv popote walipo wakati wowote kwa  kutumiavifaa kama  simu, laptopna tablet.  Download App yetuya“DStv Now”,unaweza kutumia hadi vifaa vitano tofauti ambavyo vyote huunganishwa na dikoda yako hivyo kuwawezesha wanafamilia kutazama vipindi  tofauti wakiwa sehemu yoyote kwa kutumia vifaa vyao.

Kujiunga wasiliana nao kwa namba0659 070707

Wanasema “Kama SioDStvPotezea”!!

 

 

 

 

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.