DStv Yawasha Moto wa Kombe la Dunia 2018

Huku zikiwa zimebaki siku 6 tu, kwa kinyang’anyiro cha Kombe la Dunia 2018 kuanza nchini Urusi, DStv imetangaza neema kwa Watanzania kwa kutoa ofa maalum kwa wateja wapya, Sasa wataweza kujiunga na DStv kwa shilingi 79,000 tu na kupata seti ya DStv pamoja na kifurushi cha miezi miwili bure kitakachowawezesha kushuhudia mashindano ya Kombe la Dunia LIVE mechi zote 64 kupitia chaneli sita (6) maalum zilizotengwa kwa ajili ya FIFA Kombe la Dunia 2018 tena katika muonekano angavu yani ni HD.

Umekwisha jiunga na DStv, Lipia kuanzia kifurushi Bomba kwa sh.19,000 tu, uangalie Kombe la Dunia LIVE mechi zote 64 kwa Lugha zaidi ya tatu (3) ikiwemo Kiswahili tena ikiwa kwenye mfumo wa HD.

Hakikisha unapakua Application ya “DStv Now “kwenye simu za mkononi ili uweze kufurahia huduma za DStv ikiwemo mechi za Kombe la Dunia, wakati wowote mahali popote bila malipo ya ziada.

Jiunge sasa na DStv kwa kupiga namba 0657 070707.

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.