DIY:DO IT YOURSELF

 

NAOMBA NIWALETEE KITU SIO KIPYA KIPO MUDA TU WANAITA DYI KIREFU NI DO IT YOUSELF SI LAZIMA KILA KITU KUPELEKA KWA FUNDI NI KAMA UNAVYOSHONA KIFUNGO CHA BLAUZI KIKITOKA. WENGI MWAPENDA JEANS MRARUKO/DISTRESSED JEANS SASA BASI HII NI KAMA TUTORIAL WAWEZA ANGALIA HAPA UKACHANA JEANS YAKO UNAVYOPENDA WEWE MAANA WENGINE KWA MUONEKANO ULE WA MMEUPENDA ILA YA JOJO TUMUACHIE JOJO SI KILA MTU AUWEZA MRARUKO ULE.

STEP YA KWANZA CHAGUA JEANS YAKO

THEN WEKA ALAMA KAMA NI KWA CHAKI AU MKAA PALE UNAOTAKA KUCHANA

TAFUTA MKASI KATA KWA KUACHA NAFASI KULINGANA NA UKUBWA WA MCHANO UTAKAO.

BAADA YA HAPO UKICHANA JEANS UNAVUTA TU ZILE NYUZI ULIPOCHANA ,WENGINE WANAISHIA KUCHANA TU BILA KUTOA NYUZI UPENDAVYO WEWE.YTTRKWA KUANGALIA PICHA PIA WAWEZA JIFUNZA ZAIDI.

Related Posts

Leave a Reply