Eid Hijab Tutorials

Asalam Aleykum Eid hiyo yakaribia,najua mshanunua na madish dash au ambacho utavaa wakati wa sala au baada kwa ajili ya mialiko .

Kuna few ideas za kufunga ushungi wako ,japo kwenye tutorial ni wedding hijab ila pia ni festive hijab kama Eid

enjoy

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.