Elizabeth Michael Akipata Mtoto wa Kike Atamfundisha haya kuhusu Muonekano /Uzuri wake

Wasichana wengi kabla ya kupata watoto wanakua tayari wanajua watawapa malezi gani watoto wao,haiko tofauti na Lulu ambaye anasema akija aliwa kupata mtoto wa kike atamfundisha kushukuru kwa uzuri wake au muonekaowake ila sio kujisifu na kuhisi kwamba uzuri wake utamsaidia kupata vitu flani kwenye maisha yake.

Amekua inspired na mwigizaji wa kike wa Nigeria ambaye yuko on top of her game kwa sasa.akiwa ameandika haya kwenye page yake

Lulu aliongezea caption hii

What A coincidence….Niliwahi kuwaza hivi Pia…!
Siku Nikijaaliwa kupata Mtoto(Hasa wa kike)Nitamfundisha KUSHUKURU kwa Muonekano aliopewa Na sio Kujisifu au Kuhisi Muonekano wake unaweza kumsaidia kupata kitu chochote katika maisha yake…..!
.
.
Binafsi Naonaga Muonekano/Uzuri/Urembo sio kitu cha kujisifu Maana sio kitu Unique(kitu cha kipekee)
Unaweza kuwa Mzuri Dar na ukienda Dar hii hii ukakuta wazuri wengine wengi tu,hapo hujatoka nje ya dar,nje nchi,nje Bara ukakutana na wengine Tena…sooo There’s nothing special there…!
Nadhani Kama Wewe ni Binti/Kijana mwenye muonekano mzuri ni Jambo La kushukuru na sio Kujifisu?Ila unaweza kuwa wa kipekee Kwa kuongeza kitu/vitu ndani yako zaidi ya Muonekano…Kama ni kwa Kusoma,Kufanya Kazi au chochote kile kinachoweza kukupa thamani zaidi na utofauti kati ya Wazuriiii Weeengiii Duniani?

All this is so true mtoto wakike anakua mkubwa anaishi kwa sababu ya uzuri wake tu,we are better than that,waweza soma,ukafanya biashara,uzuri wako tu mama hautoshi sababu kwanza hua unaisha .

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.