Elizabeth Michael’s New Hair Do

We love Lulu’s new hair do ,cute, bold and lovable 12818928_940903652673206_139275020_n

hii style she rocked akienda kwa friday night live ,and she had her hair up on a bow bun k,how cute is the bow
12819127_1750579115163791_744078771_n

on the back nywele ndo ziko hivi 12798046_195326054174267_1504453873_n

Another style we love ni hii ya kutengeneza braids then unazizungushia kwa mbele and the good thing ni kuwa braids zenyewe zimesukiwa kwa nywele za chini ambazo ni color ya kama mvi hivi ,ambapo ina ipa hii style contrast nzuri akiwa kabana hivi maana unaona kabisa tofauti ya nywele hizi,Ombre flani amazing.

Which style would you try on???

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.