EMERGING DESIGNER:HUSNA TANDIKA

IMG-20140731-WA0018ENDIWOO NI NEW DESIGNER IN TOWN ANAITWA HUSNA TANDIKA BRAND NAME YAKE NI H& A DRESS TO IMPRESS.ANADESIGN NGUO ZA KIKE NA ZA KIUME PIA NA ALISHIRIKI KWA SWAHILI FASHIONWEEK 2013.TUMPE SUPPORT ME NAANZA KWA KUMFEATURE SO CHUKUA CONTACT ZAKE KAJIPATIE KIVAZI CHAKO INSTAGRAM @HnADress2impress kwa facebook ni H&A Dress to impresHUMU UTAPATA NA CONTACT ZAKE PIA KAMA UNASWALI WAWEZA MUULIZA DIRECT.

SASA BASI TWENDE KUJIPATA VIVAZI VYETU KWA HUSNA.

IMG-20140731-WA0021 IMG-20140731-WA0022 IMG-20140731-WA0019 H&A_210 H&A_151 (1) IMG-20140731-WA0035DASHIKI PIA ANADESIGN AMBAZO NI HABARI YA MUJINI KWA SASA MCHEKI HUSNA UPATE YA KWAKO IMG-20140731-WA0037 IMG-20140731-WA0036 IMG-20140731-WA0034 IMG-20140731-WA0025 IMG-20140731-WA0026CREDItHUSNA

Related Posts

Leave a Reply