Eye Candy of the day #09::Jesse Metcalfe

jesse-metcalfe-6

Am sure wengi mmemjua huyu Jesse kwenye ile tamthiliya ya passion miaka ya 1999 hadi 2008 kama Miguel Lopez-Fitzgerald ,pia kwenye Desperate house wives alicheza kama John Rowland

Mbali na kuwa ni Actor pia ni Musician

jesse-metcalfe-10

Jamaa ana miaka 37,kwa mwaka 2015 amecheza kwenye movie ya Dead Rising :Watchtower,alikuwa star pia kwa movie ya a Country Wedding.

jesse-metcalfe-1

Mwaka 2016 amecheza a Christian drama film ya God’s not Dead 2 ,Dead Rising Endgame,yupo kwenye series ya Chesapeaker shore sireis kwa sasa ,na kwenye series hiyo ameperforms na ku compose nyimbo zinazotumika kwenye episodes za series hiyo.

jesse-metcalfe-4

Mwaka jana alimu engage long time girlfriend Cara Santana

BEVERLY HILLS, CA - JANUARY 10: Actor Jesse Metcalfe (R) and Cara Santana attend InStyle and Warner Bros. 73rd Annual Golden Globe Awards Post-Party at The Beverly Hilton Hotel on January 10, 2016 in Beverly Hills, California. (Photo by Frazer Harrison/Getty Images)

 

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.