Eye Candy of the Day #21 :Mahershala Ali

Huyu umeshakutana nae kwenye movie ambayo imeshinda Grammy juzi kama Best Motion picture na yeye akishinda kama supporting actor??kama bado tafuta hii movie ,ila ni rapper pia.

Ni Marheshala Ali (Ma sha Allah),ni muislam wa kwanza pia kupata tuzo ya Grammy.

Amezaliwa miaka 43 iliyopita .

Amecheza movie kibao

Ilomtoa ni the curious case of Benjamin Button mwaka 2008 ,Predators,The place beyond pines ,free state of jones ,Hidden figures ya mwaka jana na The Hunger games series pia.

Alifanya sana vizuri kwenye movie ya Moonlight 2016 akicheza kama mentor na drug dealer ,alipata kuwania tuzo za Critics na alishinda hiyo ya Grammy kama Best Supporting Actor, the SAG Award and the Critics’ Choice Award for Best Supporting Actor, and a BAFTA Award nomination.

Nakumbuka kwenye hidden figure Janele Monae ambaye amecheza kama Mary Jackson akimsifia huyu kaka kwamba he is A TALL GLASS OF WATER

Ameoa mkaka huyu na juzi kati tu wamepata mtoto wao wa kwanza wakampa jina la Bari (Bar-ee) Najma Ali

he is a fine man indeed

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.