Eye Candy of the Day #23::Zac Efron

Zac Efron ni muigizaji na muimbaji wa Kimarekani mwenye miaka 29 ,ali rise to fame miaka ya 2000 hivi na movie ilomkikisha miaka hiyo ni ya e High School Musical franchise (2006–08).

Amekua akifanya vizuri ever since na movie kama  New Year’s Eve (2011), The Lucky One (2012), Neighbors (2014), Dirty Grandpa (2016), and Neighbors 2: Sorority Rising (2016).

Ila mwaka huu ana a big movie BAY WATCH kila ijumaa hapa 8020fashions tunaweka movies waweza icheki ujue yaliyomo na ukitazame pia.

From miaka ya 2000 Kijana amekua ,ame build mwili wake ,yuko healthy and fine .

Niliposema he is FINE nilimaanisha 

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.