Eye Candy of the Day #20 ::Ali Kiba aka King Kiba

Born in 1986 Ali Kiba ame prove kuwa jina la King Kiba halikukosewa kupewa baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu akaweza kurudi na ku hit zaidi ya zamani .

Mshindi wa tuzo kibao ikiwemo ya MTV EMA .

Kwa sasa yuko SA ambako ndo ana anzia kwenye ile world tour yake

Mbali na kuwa ni msanii pia Ali anamuonekano mzuri ,anaijipenda ,anavaa kisasa  which inamsaidia zaidi kuendelea kuweka muonekano wake kama msanii juu zaidi 

anapendeza in suit,casual looks kama shorts ,jeans etc

Kwa sasa hivi naona anazimia sana hizi Aviator colorless glasses amekua akizi rock sana na zinampendeza 

We wish you all the Best Ali Kiba kwenye tour yako na muziki 

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.