Eye Candy of the Day #10:::Daniel Sturridge Liverpools Striker

I know humu wadau wengi ni wadada na mpira havipandi kabisaa unless mtu unamuongelea Bekham,Messi au Ronaldo ndo wengi wanawajua,well thank me later maana utawajua tu wale wachache wachache basi ambao nakuwa introduced either by friends au story zao naziona online na kuona wana fit kuwa eye candy of the day.

daniel-sturridge-1

The handsome striker from Liverpool ,wengine wanawaita Foward Ni Daniel Sturridge

ana umri wa miaka 27,ni mu English huyu jamaa,anacheza  Premier League kwa Club ya club Liverpool na pia Timu ya taifa ya England,anacheza pia kama winger but mara nyingi Striker.

daniel-sturridge-4

Kuna columnist mmoja wa kutoka Sportmail Jamie Redknapp alisema kwamba Daniel Sturridge anabaki kuwa na  ‘special talent’ na ana haki zote na vigezo vya kuwa moja ya best foward duniani

daniel-sturridge-3

Ameshachezea timu kama Mancehster City,Chelsea na nyingine anaetaka historia yake ya Mpira google it 

mie nakuonjesha tu hapa

PLAYER HISTORY

Daniel is the youngest ever player to win the Champions League, Premier League and FA Cup, and the only Premier League player to score on all of his debuts; for Manchester City, Chelsea, Bolton and Liverpool FC, as well as in his World Cup debut against Italy_1463411305

Daniel’s uncle, Dean Sturridge, was a star at Derby County, Leicester City and Wolverhampton Wanderers, another of his uncles, Simon, also enjoyed a successful playing career at Birmingham City and Stoke, and his Father, Michael, was signed by Sir Alf Ramsey at Birmingham City.

daniel-sturridge-2

Juzi kati alichaguliwa na Hugo Boss kuwa brand Ambassador wao ,wana Suit na perfumes pia ambazo kwa mwaka wa 2 sasa wame extend mkataba wao na wachezaji wa Liverpool daniel-sturridge-3

Ameshacheza mechi 226 na ku score magoli 83

Jamaa yuko vizuri ki mavazi pia na ana clothing brand yake mwenyewe ambayo sometime alikuwa akivaa kwenye mazoezi akapelekea club kumyima asivae brands zake zoezi.

Anasaidia sana jamii yake na ana foundation yake aloipa jina la Sturridge Foundation

Ingia kwenye Website yake utaona mengi zaidi .

daniel-sturridge-2

daniel-sturridge-1

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.