EYE CANDY OF THE DAY #15:::GABO ZIGAMBA

Gabo ni mmoja wa wasanii wa bongo movie ambao wanafanya vizuri right now ,i mean naona kama ndo ambaye yuko relevant na ana kipaji cha hali ya juu.

Kwa roles mbalimbali ambazo amecheza basi me nilipenda ambayo ali act kama anaongea kama watu wa mtwara hivi.

Nilishawahi kumsikiliza kwenye Uhondo ana historia ndefu kwenye movie na ametoka mbali sana but naamini kuwa ni mtu mwenye discipline sanaya kazi na kujiheshimu pia.

so leo nikasema i should feature him kwenye post yetu ya eye candy na kwa ambao hamumjui mka mcheki na ku angalia kazi zake.gabo-2

Halafu Gabo anamuonekano flani amazing wa ki gentleman ,i mean appearance yake iko poa gabo-3

yes he is married tena with kids

follow him on instagram @Gabo

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.